Wa busha kidogo antoe roho


hahahaaaaaaaaa have nercy on my ribs lol.. umenichesha sana mie nakuchukulia mwenyewe....
 
Kukimbilia kuisoma mada nikidhani ulijikokotea kamchepuko kenye busha ukikachukulia poa kumbe muziki cd 12...... Kumbe ni kuguswa tuu na nguo iliyobeba kamzigo....!

Acha woga mkubwa sasa wewe...
 

umkute mpole wengine wanakulapua tu
 
hahahaaaaaaaaa have nercy on my ribs lol.. umenichesha sana mie nakuchukulia mwenyewe....

hahaha, hiyo ni one swift movement, wakati unastuka mi nilishasema "samahani dadaangu" nimeshazama na kutoka, ukiniangalia usoni unanionea huruma unatabasamu na kunisamehe tu!
 
Ungepiga mluzi mkali kabisa angeipata habari yake! Teh teh teh teh!!
 
Kiu....maana nikikafikiria hako kavulana😱

Hahaha, mkuu hata mimi ninaweza kukutana na demu mkali alafu namfikiri huyo jamaa yake anavyo faudu. Kweli lazima ujaribu kukafikiria jinsi kalivyo na bahati.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…