... NHIF hawakagui madai yanayowasilishwa kwao? Maana kama kipimo hakiko justified kinatakiwa kukataliwa kwenye malipo ya madai.Madaktari wengi ata kama umevunjika mkono wanakuambia upige MRI badala ya X -RAY ikizingatiwa gharama yake ni kubwa na wanapata 10% ingawa mtu anayepigwa miozi ya MRI hajui madhara yake.
... Matumizi ni makubwa kwa kuwa nazo zipo nyingi sikuhizi ukilinganisha na miaka ya nyuma. Halafu, maendeleo na ufahamu katika sekta ya afya umechangia pia.Vile vile ukiangalia matumizi ya MRI , ECHO na TSCAN yamekuwa makubwa sana. ikilinganishwa na miaka ya nyuma.
Swala si JUSTIFIED mtu anapigwa MRI makusudi ili wapate 10% ; INGAWA UGOJWA USINGEITAJI... NHIF hawakagui madai yanayowasilishwa kwao? Maana kama kipimo hakiko justified kinatakiwa kukataliwa kwenye malipo ya madai.
... MRI haitoi mionzi kama X-Ray. Pamoja na kwamba X-Ray ni nafuu zaidi, ina madhara makubwa kwa afya.
... Matumizi ni makubwa kwa kuwa nazo zipo nyingi sikuhizi ukilinganisha na miaka ya nyuma. Halafu, maendeleo na ufahamu katika sekta ya afya umechangia pia.
... Hii inatokana na facilities na huduma wanazotoa.Wafaidikaji wa fuko la NHIF 70% ni tàasis binafs
Regency
Agakan
Mbeya hosp
Kcmc
Almc arusha
.....
....
30 ndo tunabaki kwenye goverment facility
Lakin hao hapo juu wapo tayari hata kuhonga ili mradi tu walipwe hata kama mgonjwa hakutibiwa kwao
... Katika hali ya kawaida, kwa hiki unachokisema, NHIF hawatakiwi kulipa. Kama ugonjwa hauhitaji hicho kipimo, sioni namna NHIF wanavyolipa hilo dai.Swala si JUSTIFIED mtu anapigwa MRI makusudi ili wapate 10% ; INGAWA UGOJWA USINGEITAJI
anayehumia ni mgojwa akipigwa anapewa risti Dr na hospitali wanadai chao
MRI haina mionziUtafiti mdogo uliofanyika , unaonyesha NHIF inaweza angukia pua wakati wowote kutokana na kudaiwa gharama kubwa za vipimo na hospitali binafsi , dini na serikali. Mpaka sasa baadhi ya hospitali zinalalamika ulipwaji wa kusuasua.
UPIGAJI UNAVYOFANYIKA:
Madaktari wengi ata kama umevunjika mkono wanakuambia upige MRI badala ya X -RAY ikizingatiwa gharama yake ni kubwa na wanapata 10% ingawa mtu anayepigwa miozi ya MRI hajui madhara yake.
Vile vile ukiangalia matumizi ya MRI , ECHO na TSCAN yamekuwa makubwa sana. ikilinganishwa na miaka ya nyuma.
Hivi vipimo umekuwa ni mzigo mkubwa sana kwa NHIF upande wa Bill.
USHAURI
1.Ni wakati wa NHIF kuingia MOU na hospitali kubwa kwa kuzinunulia MRI, X-RAY, ECHO katika win to wina situatio NHIF ichangie 80% ya gharama hospitali zichangie 20% ziwe chini ya uangalizi na matengenezo chini ya hospitali. Gharama iwe 50% NHIF na 50% Zinabaki hopitalini
2.Kuwa na kitengo RADIOLOGY- Dealing with X-rays and other high-energy radiation, especially the use of such radiation for the diagnosis and treatment of disease. kubwa ambayo itakuwa chini ya NHIF.Kama ilivyo JAKAYA KIKWETE HEART INSTITUTE. MRI - 10, ECHO-10; X-RAY-10 N.K
View attachment 527431View attachment 527432
... Mionzi imeandikwa wapi hapo?A magnetic resonance imaging (MRI) scan is a common procedure used by hospitals around the world. MRI uses a strong magnetic field and radio waves to create detailed images of the organs and tissues within the body.
... HAPANA!mionzi
Naungana na wwUtafiti mdogo uliofanyika , unaonyesha NHIF inaweza angukia pua wakati wowote kutokana na kudaiwa gharama kubwa za vipimo na hospitali binafsi , dini na serikali. Mpaka sasa baadhi ya hospitali zinalalamika ulipwaji wa kusuasua.
UPIGAJI UNAVYOFANYIKA:
Madaktari wengi ata kama umevunjika mkono wanakuambia upige MRI badala ya X -RAY ikizingatiwa gharama yake ni kubwa na wanapata 10% ingawa mtu anayepigwa miozi ya MRI hajui madhara yake.
Vile vile ukiangalia matumizi ya MRI , ECHO na TSCAN yamekuwa makubwa sana. ikilinganishwa na miaka ya nyuma.
Hivi vipimo umekuwa ni mzigo mkubwa sana kwa NHIF upande wa Bill.
USHAURI
1.Ni wakati wa NHIF kuingia MOU na hospitali kubwa kwa kuzinunulia MRI, X-RAY, ECHO katika win to wina situatio NHIF ichangie 80% ya gharama hospitali zichangie 20% ziwe chini ya uangalizi na matengenezo chini ya hospitali. Gharama iwe 50% NHIF na 50% Zinabaki hopitalini
2.Kuwa na kitengo RADIOLOGY- Dealing with X-rays and other high-energy radiation, especially the use of such radiation for the diagnosis and treatment of disease. kubwa ambayo itakuwa chini ya NHIF.Kama ilivyo JAKAYA KIKWETE HEART INSTITUTE. MRI - 10, ECHO-10; X-RAY-10 N.K
View attachment 527431View attachment 527432
Hahaha... Mionzi imeandikwa wapi hapo?