The Gentleman Pirate
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 1,502
- 988
Habari wakuu!!
Ni imani yangu mu wazima wa afya na mwaendelea vyema na michakato ya maisha.
Ushauri wangu ni kwa vijana hususani waliomaliza kidato cha nne na engineers wanna be.
Elimu ya ufundi ndio msingi sahihi kwa vijana wetu kabla ya kwenda kuchukua bachelor,elimu ya ufundi mchundo ni practical oriented na inampa wigo mpana mwanafunzi pia uzoefu tofauti na aliyeenda a-level.
Hivyo nawaasa vijana kujiunga na vyuo kama d.i.t,must,atc ili tuwe bora katika uhandisi.
''An engineer can do anything''