Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,300
AsanteONE point 09, kwa hivyo vyuo asingeweza kupata ata Pharmacy na Nursing ni ngumu kupata,
Maximum Tuition fees ya Loan Board Ni 3ml hii kama umepata 100% unless wawe wamebadilisha,
Ukiachia mbali ukubwa wa ada ya st. Francis vipi ubora wa degree inayotolewa hapo?ONE point 09, kwa hivyo vyuo asingeweza kupata ata Pharmacy na Nursing ni ngumu kupata,
Maximum Tuition fees ya Loan Board Ni 3ml hii kama umepata 100% unless wawe wamebadilisha,
Ada ya Ifakara ni 4M,akipata mkopo HESLB huwa inatoa 3.5M kwa ada,kwa mwaka.....nashauri akomae tu,"costs" zingine zote kwa mwaka haziwezi zidi milioni 1.Habari naomba mnisaidie kimawazo
Mdogo wangu alisoma PCB shule ya kata akabahatika kupata one ya point 9, anachotaka kusoma ni MD pekee yake
Ameomba
UDOM-Amekosa
MUHAS-AmekosA
BUGANDO-Amekosa
KCMC-Amekosa
St. Fransis Ifakara-Amepata
Fee structure ya St. Fransis ni kubwa sana ada tu pekee ni milioni nne kamili ukiacha mahitaji mengine kama hostel
Vyuo vya serikali angalau ada siyo kubwa kihivyo ni 1.8M
Msaada
Huyu mwanafunzi akipata mkopo anaweza kuongezea kama kiasi gani ili atimize ndoto yake ya kuwa MD
Kama kuna mwanafunzi wa MD st. Fransis naomba anisaidie kujua uhalisia
Wamedilisha,before 2013 walikua wanatoa 2.6M,2013-2018,walikua wanatoa 3.1M,beyond that ni 3.5MONE point 09, kwa hivyo vyuo asingeweza kupata ata Pharmacy na Nursing ni ngumu kupata,
Maximum Tuition fees ya Loan Board Ni 3ml hii kama umepata 100% unless wawe wamebadilisha,
Alikosa PiaMwambie ajaribu udom nursing then akipata afanye transfer ya kozi kwenda MD akifika chuoni huwa ni shilingi elfu hamsini tu.
Asante ka confirm IfakaraAda ya Ifakara ni 4M,akipata mkopo HESLB huwa inatoa 3.5M kwa ada,kwa mwaka.....nashauri akomae tu,"costs" zingine zote kwa mwaka haziwezi zidi milioni 1.
Wazo la kibabe sana hili alifanyie kaziMwambie ajaribu udom nursing then akipata afanye transfer ya kozi kwenda MD akifika chuoni huwa ni shilingi elfu hamsini tu.
Udom nursing alikosa piaWazo la kibabe sana hili alifanyie kazi
UDSM wana MD ktk mbeya campus Ada ni 1.8m, very chiep. Hizo ni Ada tunazolipa nursery huku St. SchoolsSasa Hali niMbaya inamaana MD sikuhizi ni I ya 3,4,5,6 tuu?πππππππππππ
Hapo ni kweliππππππUDSM wana MD ktk mbeya campus Ada ni 1.8m, very chiep. Hizo ni Ada tunazolipa nursery huku St. Schools