V vanchenya9 Member Joined Oct 9, 2016 Posts 21 Reaction score 8 Apr 18, 2017 #1 Naombeni msaada nataka kujua kuna vyuo vingapi vinatoa elimu ngaz ya cheti ktk sekta ya afya hasa course ya nursing na mkoa gani kipo naomba ushilikiano wenu nami nijue kuna mdogo wangu ana div 3 sasa nataka aende kusomea nursing.
Naombeni msaada nataka kujua kuna vyuo vingapi vinatoa elimu ngaz ya cheti ktk sekta ya afya hasa course ya nursing na mkoa gani kipo naomba ushilikiano wenu nami nijue kuna mdogo wangu ana div 3 sasa nataka aende kusomea nursing.
Forevertz Member Joined Sep 11, 2011 Posts 38 Reaction score 20 Apr 18, 2017 #2 Ingia NACTE utapata kila kitu