Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,194
- 1,284
Wakuu pole na shughuri, jamani nina mdogo wangu kakosa nafasi ya afya alikuwa na PCB point 10 sasa amesema ataomba mwaka ujao,
Sasa anataka kusoma computer, wakuu nisaidie vyuo vinavyofundisha computer kwa apa Dar ambavyo ni vizuri.
Hasante
Certificatelevel gani? amefaulu math? anaweza hesabu? yuko interested na mambo hayo?
Ya muda wa miezi sitaanataka kusoma computer ya namna gani??
Anataka course ya miez sitaCompuer science
Computer engineering
Computer information system and security
Information Technology
Information system and network engineering
Software engineering
Health i nformation system
ICT
Ipi hapo?
PCB mwenye point 10! Certificate?Certificate
Anataka course ya miez sita
Anataka course ya miez sita
Certificate
upo wapi mkuu??Ya muda wa miezi sita
hiyo ms word sio kila mtu anajua mkuu mwache akapate kaujuzi ka kutaip kwenye keyboard ya pckwanini anataka kufanya hivyo uje huko anaenda kusoma kutumia microsoftword na excel tu hakuna cha ziada hapo unapoteza muda na pesa yeye kama anapenda computer aende chuo akasome vitu vinavyoeleweka au akae home
Kama hukusoma mathematics kwa hizi course sahauCompuer science
Computer engineering
Computer information system and security
Information Technology
Information system and network engineering
Software engineering
Health i nformation system
ICT
Ipi hapo?
Yuko Pnade zipi?Vyuo vipo vingi sana inategemea yeye anataka kusoma kiwango ganiWakuu pole na shughuri, jamani nina mdogo wangu kakosa nafasi ya afya alikuwa na PCB point 10 sasa amesema ataomba mwaka ujao,
Sasa anataka kusoma computer, wakuu nisaidie vyuo vinavyofundisha computer kwa apa Dar ambavyo ni vizuri.
Hasante
hakika 100% iwe ivyo!Nyumbani, shuleni na vyuoni somo la 'Career development and counselling' ni muhimu kuwepo. kijana anamaliza kidato cha nne hajajua anataka kuwa nani au "he/she hasn't well established his/her road map of her life" ndiyo hapa tunapochelewesha maendeleo yetu.