Vyuo vya afya vya private wakuu

Vyuo vya afya vya private wakuu

Sheko

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
280
Reaction score
26
wakuu naomba mnisaidie kunitajia vyuo vya afya vya private katika clinical officer na medical labaratory technology
 
wakuu naomba mnisaidie kunitajia vyuo vya afya vya private katika clinical officer na medical labaratory technology

coz gan una apply..chet au dip,je pass mark zako zkoje?em tuambie ili tusaidiane ktk hilo..
 
nenda kolandoto shinyanga bila kusita kapige hiyo CO chuo kile kizuri afu cha muda sio kama tandabui kilichoanza mwaka juzi hakina hata full registration kwa maelezo zaid...0763880394
 
Nenda zanzibar school of health kipo zanziba na ndo muda wa application ada inalenga moja na kama tatu
 
wakuu naomba mnisaidie kunitajia vyuo vya afya vya private katika clinical officer na medical labaratory technology

Ebu jaribu KAM College.......fatiliamaana nasikia ni pazuri,wako vizuri.
 
Eti nasikia wameongeza muda wa kuapply adi tarehe 3 mwez june..je kuna ukweli juu ya hilo
 
Back
Top Bottom