Unasoma tu, ila optometry ndio habari ya mjiniKwahyo kama nina DDC ya PCB "O"level siwezi kusoma hiyo kozi
Ndugu zangu wana jf pole na mahangaiko.naomba msaada wenu katika hili naomba kufahamishwa ni vyuo gani vinafundisha kozi za Dental therapy na Optometry kwa ngazi ya cheti hata kama ni vyuo vya binafsi.
Shukran