Vyuo vizuri vya information technology kwa level za certificate, dsm!

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,454
Reaction score
17,932
habari zenu wakuu..

.. poleni kwa mihangaiko yenu ya hapa na pale, pia napenda kuwapa pole wale wenzangu wooote waliokosa mikopo!

wakuu, naomba kufahamu ni vyuo gani vizuri kwa mkoa wa dar es salaam ambavyo vinatoa mafunzo bora ya information technology kwa level ya certicate. naomba pia kufahamishwa na gharama zao kiujumla!!

nina mpango wa kusoma course hii ambayo baada ya muda itakuja nisaidia kufanikisha malengo yangu!

mimi niko mwanza kwa sasa!!

nawasilisha!
 
Hapo DIT kinahuxka kipo maeneo ya akiba dar,kipo vzur xana kwa hayo mambo

mkuu nashukuru sana!!

vigezo vyao hasa ni vipi? ada zikoje?
 
Mkuu kama una experience na Unique tafadhali tupatie, najua gharama yao iko juu lakini sijajua kama ni worth it. Ukiwalinganisha na UCC (ya UDSM) unashaurije?
 

Mkuu ahsante sana kwa maelezo yako. Kama unaweza nifafanulie hapo penye nyekundu kwani kijana ninaemfikiria anataka course ya ICT anzie na certificate ingawa sijajua anaijua kiasi gani hiyo field na sasa ndo yuko F4. Nia yangu ni kumsaidia kwa kupitia wataalamu aelewe yanayojiri kwenye hiyo program na apate ufaulu unaotakiwa. Nitashukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…