Vyuo vinavyotoa shahada (degree) ya gesi, petrol kwa Tanzania

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,390
Naomba kujua orodha ya vyuo vikuu vinavyotoa shahada za masuala ya gesi an petrol kwa Tanzania na pia kama kuna waliowahi somea fani hiyo kwa hapa tanzania.

Asante.
 
UDOM, Mhhh! Hapo hamna kitu.
Hamba kitu kivipi? Nina rafiki yangu alimaliza form six 2014 na alipata one ya saba pia alipenda asome UDSM petroleum ila alikosa mana pale waliishia one ya sita,jamaa akapata UDOM kwa sasa yupo mwaka wa pili petroleum.
 
We boya na wasomi kama ninyi kazi kukariri kwa taarifa yako kozi hii UDOM hua ina chuka around watu 30 hadi 40 kwa mwaka na wote ni PCM au PGM wenye division One UDSM inachukua watu 25 mpaka 40 again wote wanakua na division one form six so nchi nzima huchukuliwa watu kati ya 60 na 80 basi
Sijatukana! Umenitukana! Anyway, Data yako iko sahihi. Acha kelele! UDOM ni university ya KATA, umanielewa! Siitaki kabisa!
 
Hamba kitu kivipi? Nina rafiki yangu alimaliza form six 2014 na alipata one ya saba pia alipenda asome UDSM petroleum ila alikosa mana pale waliishia one ya sita,jamaa akapata UDOM kwa sasa yupo mwaka wa pili petroleum.
Si unaona alikosa UDSM alitaka kwenda UDSM, why not UDOM as first preference!
 
Sijatukana! Umenitukana! Anyway, Data yako iko sahihi. Acha kelele! UDOM ni university ya KATA, umanielewa! Siitaki kabisa!
Ukata utabaki wewe UDOM hata medicine pale inaheshimika wote walioko pale medicine ni one au two na sasa hivi imejengwa hospital ambayo ita tibu magonjwa yote ya figo TANZANIA hapo chuokikuu UDOM usicheze na fani nyingine hata chuo kiwe kibaya vipi utawakuta vipanga na one zao na kozi zote hizi zinaendeshwa na mamlaka husika chini ya wizara ya afya (bodi ya madaktari na bodi ya wauguzi na bodi ya famasi) pamoja na petrol wizara ya nishati na madini kila baada ya semester bodi husika hupita vyuoni kujiridhisha.
 
Hamba kitu kivipi? Nina rafiki yangu alimaliza form six 2014 na alipata one ya saba pia alipenda asome UDSM petroleum ila alikosa mana pale waliishia one ya sita,jamaa akapata UDOM kwa sasa yupo mwaka wa pili petroleum.
Afadhali umemwambia anasema chuo cha kata kwani hiyo kata ndo ita enda kuchimba mafuta na gesi au ita enda kukufanyia surgery na ukifika hospitalini waambie mi sitaki daktari wa UDOM nataka wa KCMC au MUHIMBILI sijui watu wengine hua wananwaza nini. Shukrani mkuu
 
Ukata utabaki wewe UDOM hata medicine pale inaheshimika wote walioko pale medicine ni one au two na sasa hivi imejengwa hospital ambayo ita tibu magonjwa yote ya figo TANZANIA hapo chuokikuu UDOM usicheze na fani nyingine hata chuo kiwe kibaya vipi utawakuta vipanga na one zao na kozi zote hizi zinaendeshwa na mamlaka husika chini ya wizara ya afya (bodi ya madaktari na bodi ya wauguzi na bodi ya famasi) pamoja na petrol wizara ya nishati na madini kila baada ya semester bodi husika hupita vyuoni kujiridhisha.
People are skeptical with UDOM graduates, I am telling you! Tunawaona
 
Whatever but respect some fields these people are good in admitting the best candidates be it in Medicine or petroleum engineering thats all am saying you cant find JESKA in medicine UDOM or in Petroleum

I respect them, but people have that mentality that UDOM is below standard. Huyo binti anazidi kuonyesha kuwa UDOM ni tatizo. Mungu nisamehe
 
Afadhali umemwambia anasema chuo cha kata kwani hiyo kata ndo ita enda kuchimba mafuta na gesi au ita enda kukufanyia surgery na ukifika hospitalini waambie mi sitaki daktari wa UDOM nataka wa KCMC au MUHIMBILI sijui watu wengine hua wananwaza nini. Shukrani mkuu
Hapa kwetu KATA na shule zake zinaeleweka!
 
Back
Top Bottom