Ruaha Catholic RUCO zamani sasa RUCU Ni chuo cha kikatoliki, kinapatikana Iringa mjini, ni miongoni mwa vyuo vikuu bora vinavyopatikana ukanda wa nyanda za juu kusini, Chuo kinasifika kwa kutoa Shahada mbalimbali hasa shahada ya Sheria LL.B1.Jamani kwanza naomba kuuliza nani anakifahamu chuo RUAHA UNIVERSITY??? kwa anayekifahamu plz maelezo kidogo kuhusu hicho chuo
2.naomba kwa anayejua anisaidie hivi anayesoma private chuo kikuu na mwingne government huwa wanazidiana nini kwenye swala la priority mbalimbali kama ajira mkopo na mengine mengi yanayohusiana na hayo. Msaada plz
Asante ndugu, lakin sjakuelew ulivyosema profile ya public ni kubwa kuliko vyuo binafsi? Msaada[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Ruaha Catholic RUCO zamani sasa RUCU Ni chuo cha kikatoliki, kinapatikana Iringa mjini, ni miongoni mwa vyuo vikuu bora vinavyopatikana ukanda wa nyanda za juu kusini, Chuo kinasifika kwa kutoa Shahada mbalimbali hasa shahada ya Sheria LL.B
Profile ya vyuo vya umma ni kubwa kuliko vyuo binafsi, ila content ya elimu ni ile ile
2.naomba kwa anayejua anisaidie hivi anayesoma private chuo kikuu na mwingne government huwa wanazidiana nini kwenye swala la priority mbalimbali kama ajira mkopo na mengine mengi yanayohusiana na hayo. Msaada plz
Hakuna kipaumbele kwenye utoaji wa ajira na ndio mana huwa wanasema uwe umesoma kwenye Chuo kinachotambulika na serikali. Asitokee mtu akakudanganya kwamba ukisoma Chuo flani una uhakika wa kupata mkopo au ajira mara baada kuhitimu.[/QUOTE]Mkuu wa hapa hapa umeeleweka vizuri kabisa! Asante.Nasubiri majibu ya hili swali.
Mkuu wa hapa hapa umeeleweka vizuri kabisa! Asante.[/QUOTE]Na hali ya mikopo ya elimu ya juu ikoje?Hakuna kipaumbele kwenye utoaji wa ajira na ndio mana huwa wanasema uwe umesoma kwenye Chuo kinachotambulika na serikali. Asitokee mtu akakudanganya kwamba ukisoma Chuo flani una uhakika wa kupata mkopo au ajira mara baada kuhitimu.
Na hali ya mikopo ya elimu ya juu ikoje?Mkuu wa hapa hapa umeeleweka vizuri kabisa! Asante.