Heshima yenu wakuu!
Leo hapa Dar es Saalam katika chuo kikuu cha Dar es Saalm sehemu ya Mlimani kumezinduliwa rasmi mashindano ya vyuo vikuu vya Afrika Mashariki vikijumuisha Tanazania, Uganda na Kenya, cha kushangaza Tanzania kama wenyeji ni vyuo vikuu sita ndo vimeshiriki vikiwepo DUCE, Mkwawa, Tumaini Iringa, SUZA. Mount Meru na Ardhi wakati Kenya wameleta vyuo 17, na Uganda pia vyuo 17. Nimefanikiwa kungalia mechi ya ufunguzi ya soka iliyofanyika Mabibo Hostel
kati ya Chuo cha Zanzibar na Kyambogo Uganda Zanzibar wamepigwa goli nne kwa mbili, na Mechi ya pili ilikuwa kati ya Tumaini ya Iringana Makerere Uganda Tumaini wamepigwa goli mbili kwa sifuri. Mashindano haya yamefunguliwa na Waziri wa michezo Dr Fenera main Campus, pamoja na hayo kumethibitika kuwa na maandalizi mabovu.
vyuo vikuu vya bongo wanachuo wake wako bize sana!!!!
busy na kufanya ngono. Hamna la maana linalofanyika vyuoni siku hizi zaidi ya kupiga mbunye. Hivi mkusanyiko wa all tanganyikans mnashindwa kuwa na maandalizi ya michezo? Mlikuwa hamjui?
Wako busy na kitabu gani akati hata nchi haina mitaala, au wanadesa tu? magraduate wenyewe ndo hao mafisadi walioifikisha taifa katika umasikini, zaidi wameshiriki kuiuza nchi kwa kusaini mikataba feki, hembu angalia hali tu ya uchumi kwa kulinganisha na Uganda na Kenya tuko nyuma sana, sasa kati ya vyuo vikuu vya Tanzania na vile vya Kenya na Uganda ni wepi wako busy kwa tija? michezo ni sehemu ya masomo. Huna hoja. Naweza kukubalia ukisema wako busy na Ngono.kwani hapo aibu iko wapi,uliambiwa vyuo vikuu wanaenda kufundishwa mpira?watu wako busy na kitabu.
UDOM sio chuo? mbona hakipo?
you dumb!!! dont say that 'we are weak in every dimension' jus say say "am weak in every dimension"....We are weak in every dimension !
vyuo vikuu vya bongo wanachuo wake wako bize sana!!!!