Vyuo vikuu kuanza November

Kwani uchaguzi si unafanyika siku moja tu ambayo ni Jumapili na ni siku ya mapumziko, sasa iweje uchaguzi huo uvuruge taratibu za kufuatilia mikopo au ufuatiliaji wa mikopo kuvuruga uchaguzi?

Waraka huo hauna mantiki yoyote ile, na unaweza kupingwa mahakamani na wahusika kama watajipanga vizuri na kupata msaada wa sheria kwa wanasheria waliobobea.
 
Aseee ni nyingi hiyo kwa watoto wakulima...maana boom lakwanza litakuwa kam 700.point....so mjipange litokage mapema watu watanuee
 
Hapo wanavyuo hampgi tena kula labda mpande mabasi mkapgie vyuon mlipojiandikishia... polen haki yenu ya msing ya kupiga kula mmenyimwa kijanja
 
 
Tume imesema, kla alyejiandksha lazma atapga kura
 
Siasa kazini, hawana jipya hata 2010 ilikua hivivi. Hawataki wanachuo wapige kura.
 
Wengi watakosa mikopo,hivyo huenda wanaepuka wapinzani wasije wakaigeuza agenda ya kisiasa.Huenda wanataka iwe November ili uchaguzi uwe umeisha watu wakipiga kelele wakutane na washawasha.Ni hisia zangu tu!

Nilikuwa naangalia atakayetegua kitendawili hichi....hilo halina ubishi
 
wanajua wanachuo wakipiga kura CCM hawana la kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…