VYUO VIKUU HAVIFUNDISHI IT BALI UBABAISHAJI tu!

mpingauonevu

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
623
430
Mwanafunzi kakaa chuo cha uhasibu Arusha miaka mitatu. Anasoma IT (imformation technology). Amemaliza miaka mitatu anakutana na computer anaishangaa! hee hii ndiyo SATA! mama yangu kumbe IDE ndiyo inakuwaga hivi! namuuliza kwani chuoni hamjawahi kufungua computer anasema hapana tunafundishwa theory tu! halafu kijana anaandaliwa aende mtaani kutafuta kazi na alichofundishwa hajawahi kukiona! NARUDIA TENA CHUO KIKUU HAWAFUNGUI COMPUTER ILI KUIELEWA NI AKILI AU UENDAWAZIMU! MBAYA ZAIDI MAOFISI YETU YANATAKA DEGREE YAANI CHETI! TANZANIA! HOME SWEETHOME!
 
Comrade Umenichekesha sana baadae nikahuzunika sana lakini huyo aliekuwa akiuliza maswali yote hayo Muulize unaijua Face Book utamshangaa jinsi anavyoichambua hata mmiliki wake alizaliwa lini atakutajia ndio Elimu ya juu iyo hata kwetu huku RUCO wapo hao
 
that is not true about IAA
Mimi sijahadithiwa. Ndio watoto wanaonizunguka. Majority wanategemea experience kutokea mtaani. CHUONI HAWAFUNGUI COMPUTER! hawaijui vizuri motherboard! they are good kwenye software installation not in hardware! lakini kingine watoto wa kike wanaongoza kwa ufuska! it seems like they are not busy!
 
aende zake huyo na akili zake za kuunga unga, hao ndo wananunua vyeti. siku hizi kujiunga chuo kikuu tu lazima uaply kwa mtandao, sasa yeye alifikaje hapo, hata kwa rafiki zake chuo hakuona? poor him/ her
 
sasa wewe kumbe umepata mtu ambaye amejifunza software na sio hardware ndio una-judge
IT hujifunzi kitu kimoja. mpaka unaitwa unadegree maana yake ni muunganiko wa mambo. kasoro unayotakiwa uione ni Chuo ama hakina karakana ya computer ama hakina walimu wa kutosha. IT pro lazima usome vyote software na hardware.
 
kuna kitu nadhani tunatakiwa jifunza..degree ya information technology inayotolew kwenye vyuo vingi sio ile ya kiufundi.IT ya IFM huwezi fananisha na ile ya COETs zilizopo Tanzania..hizo IT ni kama taaluma ambayo mostly haihusishi ufundi sana thats y wakiwa makazini na bachela zao tunawashangaa
 
Comrade Umenichekesha sana baadae nikahuzunika sana lakini huyo aliekuwa akiuliza maswali yote hayo Muulize unaijua Face Book utamshangaa jinsi anavyoichambua hata mmiliki wake alizaliwa lini atakutajia ndio Elimu ya juu iyo hata kwetu huku RUCO wapo hao
sio fbk tu,waulize na nyimbo za wasanii wa bongo fleva utaona majibu yake mia kwa mia,kwani hawakwenda field hata siku moja?halafu ukiwakuta sasa kwenye mabasi au mitaani na vi black berry vyao full usharobaro,ukimuuuliza anakwambia anafanya it chuo fulani sio anasoma it chuo fulani,kuweni kuweni makini vijana mtaani kunatisha vibaya sana lazima uwe na kitu cha ziada!
 
kuna kitu nadhani tunatakiwa jifunza..degree ya information technology inayotolew kwenye vyuo vingi sio ile ya kiufundi.IT ya IFM huwezi fananisha na ile ya COETs zilizopo Tanzania..hizo IT ni kama taaluma ambayo mostly haihusishi ufundi sana thats y wakiwa makazini na bachela zao tunawashangaa

tofauti ya it ya ifm na coet ni nini
 
Pale UCC nilikuwa nimejiunga na kozi ya Diploma ya Computer Science mwaka 2005, nikakutana na walimu wawili wasioweza kumueleza mwanafunzi mgeni ktk fani ni nini tofauti ya CD Rom na CD Rom Drive. Mwisho wa juma niliamua kwenda zangu Techno-Brain kupiga kozi.

Kiukweli ni kwamba, ukitaka kazi nenda UCC lkn ukitaka kujua nenda kwenye hivi vyuo vya wahindi. Asikudanganye mtu kuwa unaweza kuwa Programmer kwa kusugua ****** UDSM au huko IFM and the likes. Huko ukihiingia darasani utakachokuwa unaambiwa mara kwa mara ni kiasi cha mshahara utakochokuwa unalipwa ukihitimu
 
Mkuu hapo kwenye red sijakusoma dadavua wewe uliyepata ujuzi TechnoBrain
 
Mwanafunzi kakaa chuo cha uhasibu Arusha miaka mitatu. Anasoma IT (imformation technology). Amemaliza miaka mitatu anakutana na computer anaishangaa! hee hii ndiyo SATA! mama yangu kumbe IDE ndiyo inakuwaga hivi! namuuliza kwani chuoni hamjawahi kufungua computer anasema hapana tunafundishwa theory tu! halafu kijana anaandaliwa aende mtaani kutafuta kazi na alichofundishwa hajawahi kukiona! NARUDIA TENA CHUO KIKUU HAWAFUNGUI COMPUTER ILI KUIELEWA NI AKILI AU UENDAWAZIMU! MBAYA ZAIDI MAOFISI YETU YANATAKA DEGREE YAANI CHETI! TANZANIA! HOME SWEETHOME!

Naomba kutofautiana na wewe kidogo. IT Kwa sasa ni eneo pana sana tena sana. Ukiitwa mwana IT haimaanishi ni lazima uwe unafahamu kufungua computer kujua ndani imetengenezwa na nini. Ila tu, kama huyo mtu angekua ni mwanafunzi wa Computer Engineering au course yoyote yenye kuhusika na hardwares za Computer na akashindwa kufanya hicho kitu hapo sawa.

IT Kwa sasa kuna maeneo mengi sana, na si lazima ujue kufungua Computer. Binafsi ni nimehitimu mwaka huu chuo flani nje ya nchi, katika hicho chuo wana course za aina mbili zinazohusiana na IT.. Course moja syllabus yake ina concentrate zaidi kwenye mambo ya System design, programming, Databases designs sana na maeneo mengine ya ziada kiasi.. Course nyingine ya IT inahusika na mambo ya Networking+Hardwares+System Administrations and the like..

Mie nimesoma hiyo yenye Programming, system designs and analysis, na database design and analysis, hatukuwahi kufundishwa jinsi ya kufungua computer kuona hardware zake ndani maana ilikua out of our syllabus yetu.. Lakini kitu hicho cha kufungua hardwares na kuzifahamu ndani imekua ni kitu nilichotaka kukifahamu, so nilikifanya na kukifahamu kwa juhudi zangu.. Sio kila kitu lazima ufundishwe chuoni, cha msingi ni juhudi ya mtu binafsi na je ni eneo gani yeye anataka kulitawala katika IT..

Siku hizi kuna maeneo mengi sana kwenye IT na si lazima ujue vyote. IT ni pana, si kama tunavoweza dhania..

Kuna kama:

  • IT finance
  • Programming
  • IT security
  • Networking
  • Database technologies
  • Cloud Computing
etc.. Na ambavo sijavitaja

So nikiwa familiar na kitu flani, hainilazimishi kujua kitu kingine, inategemea na uhitaji.. Kwa hiyo usimulaumu sana, ila mwulize kitu alichosomea ye ni nini? Kama as per syllabus yake havifahamu hivo vitu, basi shule itakua mbovu.. Ila cha msingi curiosity ya mtu ndo inamfanya aelewe vitu vingi zaidi. Lakini pia lazima tukae tuweze tofautisha mtu aliesoma Computer Engineering, Computer science, IT, Informations System, na hizo courses za sehemu zingine kama Learn IT, techno-brain, ucc and whatever u name it... Sio watu sawa, tofauti zipo za level ya usomaji.
 
mimi nimejifunza mwenyewe kwa sehemu kubwa sana. Msaada pekee nilioupata ni ule niliposomea kwa wahindi, kwa sababu muhindi mwenyewe anaduka la computer basi unapewa assignment ya kuasemble computer tatu kwa siku. vitu kama networking, database management na vingine nimejitafutia mwenyewe ingawa bado nabangaiza. Moja wapo ya mbinu ya kujitafutia mwenyewe ni kuomba notes kutoka vyuo vikuu na mojawapo ni hiki cha uhasibu. Ndani ya notes nimekutana na michoro ya routers, networking na hata mpaka motherboard. Sasa swali ni kwamba utakuwaje na notes za routers, cables kwa networking ama SQL server lakini ikawa ni nadharia tu? anyway yawezekana nikawa sielewi maana kwa hapa IAA wana course mbili za IT na computer science. Kibaya zaidi hata wanafunzi wenyewe hawawezi tofautisha contents za course zao!!! Yaani ukimuwekz mwanafunzi wa IT na computer science hawajijui tofauti zao nini nini. LABDA CHANGAMOTO YA ZIADA NI KAMA KWELI TANZANIA TUKO TAYARI NA CHANGAMOTO ZA DUNIA YA COMPUTER. WATAALAM WANASEMA 2042 ITAKUWA NI MWAKA AMBAO COMPUTER ITAKUWA NI KILA KITU NA NDIZO ZITAKUWA NA AKILI KWA LEVEL YA MWANADAMU. TANZANIA TUTAKUWEPO?
 
Tuna safari ndefu, ila tukomae I hope tutafika.. Wahindi katika IT wamepiga hatua kubwa sana! Cha msingi ndo kama ulivofanya wewe, umejituma na ukavifahamu vitu.. Wengi wetu (watanzania) tunapenda vitu vya shortcut, hatutaki kujiendeleza kabisa..
 
Mwanafunzi kakaa chuo cha uhasibu Arusha miaka mitatu. Anasoma IT (imformation technology). Amemaliza miaka mitatu anakutana na computer anaishangaa! hee hii ndiyo SATA! mama yangu kumbe IDE ndiyo inakuwaga hivi! namuuliza kwani chuoni hamjawahi kufungua computer anasema hapana tunafundishwa theory tu! halafu kijana anaandaliwa aende mtaani kutafuta kazi na alichofundishwa hajawahi kukiona! NARUDIA TENA CHUO KIKUU HAWAFUNGUI COMPUTER ILI KUIELEWA NI AKILI AU UENDAWAZIMU! MBAYA ZAIDI MAOFISI YETU YANATAKA DEGREE YAANI CHETI! TANZANIA! HOME SWEETHOME!

Hiyo ndiyo hali halisi kwa vyuo na shule za hapa Tz ni theory 100% practical ukibahatika huko maofisini yani ni bora liende elim ya Tz yetu yenye beti inayosema nakupenda kwa moyo wote!
 
Comrade Umenichekesha sana baadae nikahuzunika sana lakini huyo aliekuwa akiuliza maswali yote hayo Muulize unaijua Face Book utamshangaa jinsi anavyoichambua hata mmiliki wake alizaliwa lini atakutajia ndio Elimu ya juu iyo hata kwetu huku RUCO wapo hao

na wewe si mmoja wao?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom