Vyuo gani vizuri kwa uhandis wa ujenzi(Civil engineering) nje ya Tanzania?

aashto

Member
Apr 27, 2017
64
31
Habarini wadau,

Nipo namalizia diploma yangu DIT katika idara ya ujenzi( civil engineering) nina mpango wa kusoma shahada ya kwanza nje ta Tanzania nilikuwa naomba ushauri eti ni vyuo gani vizuri kwa uhandisi wa ujenzi nje ya Tanzania , karibuni kuchangia mada wakuu
 
Nakushauri google best university for civil engineering in the world utapata majibu. Najua marekani ni ghali sana. Kuna nchi kama China, india, Russia, Ukraine. Na nchi ya umoja wa ulaya nafikiri ada zao hazitakuwa ghali changamoto kubwa ni lugha Russia, Ukraine na nchi za ulaya sio zote wanataka mtu asome kwanza lugha yao. Kama upo dar unaweza kwenda kweye balozi za hizo nchi kwa maelezo zaidi.
 
Habarini wadau,

Nipo namalizia diploma yangu DIT katika idara ya ujenzi( civil engineering) nina mpango wa kusoma shahada ya kwanza nje ta Tanzania nilikuwa naomba ushauri eti ni vyuo gani vizuri kwa uhandisi wa ujenzi nje ya Tanzania , karibuni kuchangia mada wakuu
Ukitaka vyuo vizuri vya engineering nenda china

Kama utahitaji mawasiliano zaidi nitafute nikuunganishe na vyuo vya huko
 
Back
Top Bottom