Vyuo gani vinatoa post-graduate na bado havijafunga applications?

Vyuo gani vinatoa post-graduate na bado havijafunga applications?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,760
Reaction score
3,858
Msaada tafadhali

Nimejaribu kucheki vingi naona vimeshafunga application kwa masomo ya post graduate!!

Udom n Bugando?

Vyuo gan ambavyo havijafunga application?
 
Mkuu siku zote ulikuwa wapi kufanya maandalizi kwa utulivu!? Ona sasa unavyo hangaika wakati huu wa lala salama.

Ebu orodhesha vyuo ambavyo unavihitaji, kisha tembelea "website" zake ili uweze kujiridhisha kama bado usajili unafanyika. Vinginevyo unaweza kuaihirisha mpaka "2023/24 admission year" na kujielekeza zaidi kufanya mipango mingine ya uwekezaji na kutafuta pesa.
 
Tayari ushaonekana hufai, ila ndo wasomi wetu hawa.
 
Back
Top Bottom