Vyuo gani vinatoa masters za ukaguzi wa elimu?

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Feb 13, 2013
1,795
1,344
husika na mada hapo juu

jee ni chuo/vyuo gani vinavyotoa masters za ukaguzi wa elimu hapa tanzania na je?? ada zake zikoje??
 
husika na mada hapo juu

jee ni chuo/vyuo gani vinavyotoa masters za ukaguzi wa elimu hapa tanzania na je?? ada zake zikoje??
Sina uhakika kama kuna chuo kinatoa specific masters ya ukaguzi wa shule kwa sasa. Maana hata diploma yake pia ni ngeni ktk dunia hii...ndo kwanza imeanza!
 
Back
Top Bottom