Vyungu vya kulea vifaranga

Vyungu vya kulea vifaranga

Joined
Apr 15, 2019
Posts
14
Reaction score
4
Punguza gharama ya matumizi ya umeme kwa kutumia #Vyungu kama mbinu mbadala wa kuzalisha joto kwajili ya vifaranga.

Fahamu kuhusu vyungu vya kulea vifaranga kwa lengo la kuokoa gharama za kutumia umeme au gesi.

Umuhimu wa vyungu.

1• Vyungu hivi vinauwezo wa kutoa joto kwajili ya vifaranga na hata kuku wakubwa.

2• Vyungu vinauwezo wa kutoa joto zaid ya masaa kumi na mbili ( 12hrs)

3• Ukiweka mkaa asubuhi ni hadi jioni ndio utaongeza tena.

4• Chungu kimoja kinauwezo wa kuhudumia vifaranga 100 ndani ya bruda

5• Kama hauta tumia bruda chungu kimoja kitaweza kutoa joto LA kulea vifaranga 80 hadi 90.

6• Chungu hutumia mkaa mchache sana hivyo hupunguza gharama za matumizi ya umeme au gesi

7• Vyungu vinauwezo wa kukuza vifaranga vizuri na hukua kwa afya njema.

Sifa za vyungu kutoka @mifugo_tz
a. Udongo wake ni mfinyanzi asilia kwa 100%
b. Vyungu ni vizito
c. Vina ukubwa wa kutosha
d. Vina matundu ya kutoa joto la kutosha
f. Vinauimara wa kutosha

Bei ya chungu kimoja
• Morogoro = 12,000Tsh
• Dar es salaam = 14,000Tsh
• Mwanza = 15,0000Tsh

Vyungu hivi unapata ukiwa mkoa wowote tunakutumia ulipo.

Dar es salaam contact | Dr Kessy
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 765 291 489
+255 625 994 023

Morogoro Contact | Malaki
+255 654 739 808
+255 742 508 915

Mwanza contact | Emmanuel
+255 765 321 406

Mikoa mingine unatumiwa

Email:
mifugotz@gmail.com

Huduma zetu utapata ukiwa mkoa wowote Tanzania

Jiunge nasi kwenye WhatsApp group kujifunza mengi

@mifugo_tz
@kilimo_tz
@afyakiganjani

#mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #drkessyvet #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #incubator #farming #kuroiler #sasso #mbuzi #mbwa #paka #daressalaam #morogoro #tanzania #kuchi #kilimoufugaji #mwanza #arusha #mbeya #kilimanjaro #sungura #vifaranga #daktariwamifugo #afyakiganjani
IMG-20190420-WA0004.jpeg
Screenshot_20190420-080307.jpeg
Screenshot_20190420-080251.jpeg
 
Back
Top Bottom