Borderlandz JF-Expert Member Joined Nov 23, 2016 Posts 548 Reaction score 729 Jan 5, 2017 #1 Kuna jamaa anatafuta chumba cha kuishi Dodoma kama kuna mtu mwenye taarifa zozote kuhusiana na vyumba maeneo haya msaada please!
Kuna jamaa anatafuta chumba cha kuishi Dodoma kama kuna mtu mwenye taarifa zozote kuhusiana na vyumba maeneo haya msaada please!
Chatumkali JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,037 Reaction score 459 Jan 5, 2017 #2 Anataka eneo gani?
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,025 Reaction score 42,348 Jan 5, 2017 #3 Hata mimi pia natafuta eneo lolote zur lakin kiwe cha elf ishirin
scofield_PRISON Member Joined Dec 11, 2016 Posts 88 Reaction score 46 Jan 5, 2017 #4 nanyupu said: Hata mimi pia natafuta eneo lolote zur lakin kiwe cha elf ishirin Click to expand... kibaigwa
nanyupu said: Hata mimi pia natafuta eneo lolote zur lakin kiwe cha elf ishirin Click to expand... kibaigwa
Borderlandz JF-Expert Member Joined Nov 23, 2016 Posts 548 Reaction score 729 Jan 6, 2017 Thread starter #5 Chatumkali said: Anataka eneo gani? Click to expand... Dodoma mjini mkuu maeneo kama kikuyu, makole, uzunguni
Chatumkali said: Anataka eneo gani? Click to expand... Dodoma mjini mkuu maeneo kama kikuyu, makole, uzunguni
jingus JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 472 Reaction score 317 Jan 6, 2017 #6 Mwambie akifika Dodoma aende maeneo ya ccm makao makuu kwa upande wa pili kuna kituo cha mafuta karibu forts building kuna madalali awaulizie kuhusu chumba
Mwambie akifika Dodoma aende maeneo ya ccm makao makuu kwa upande wa pili kuna kituo cha mafuta karibu forts building kuna madalali awaulizie kuhusu chumba
K K A B U R U JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 922 Reaction score 1,257 Jan 7, 2017 #7 Borderlandz said: Kuna jamaa anatafuta chumba cha kuishi Dodoma kama kuna mtu mwenye taarifa zozote kuhusiana na vyumba maeneo haya msaada please! Click to expand... Check na huyu kwa chumba maeneo ya uzunguni 0754759780
Borderlandz said: Kuna jamaa anatafuta chumba cha kuishi Dodoma kama kuna mtu mwenye taarifa zozote kuhusiana na vyumba maeneo haya msaada please! Click to expand... Check na huyu kwa chumba maeneo ya uzunguni 0754759780