Vyumba viwili mwenge vinahitajika

Vyumba viwili mwenge vinahitajika

Lovenita

Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
23
Reaction score
3
nahitaji vyumba viwili vya kuishi maeneo ya mwenge mlalakuwa,mpakani au savei Maji yawepo na nyumba isiwe ya wapangaji wengi pia gari ifike
bajeti 100-120,000 pia kama vipo maeneo ya ubungo Maji vitafaa
thank you
 
Ongeza pesa upate sehemu nzuri ya kuishi,au upo tayari kuonekana ITV ukipewa msaada wa maji safi na blanket?
 
Hiyo bei ya 100,000/2-120,000/2 kwa maeneo hayo nahisi utapata sehemu isiyo salama sana kwao.
 
nahitaji vyumba viwili vya kuishi maeneo ya mwenge mlalakuwa,mpakani au savei Maji yawepo na nyumba isiwe ya wapangaji wengi pia gari ifike
bajeti 100-120,000 pia kama vipo maeneo ya ubungo Maji vitafaa
thank you

Kwa kiasi hicho na masharti yako ni vyema ukalala kwenye gari maana majirani ni wachache na hiyo hela inatosha kujaza full tank
 
Kipo savei... Master, sebule na jiko.. Offer ya umeme na maji kwa miezi mitatu ya mwanzo... 180, 000/- per month.. Inbox number kama uko tayari..
The ealier the better
 
Njoo Kimara kuna vyumba vitatu na choo, Umeme, maji bidii yako jumla yote 180,000/ Parking full secured ,fenced kodi ya mwaka.Mkataba kuanza tar.1/12/2014...Zaidi ya hapo usisumbuke tena.Hakuna Dalali hapo. Piga 0652 617 457 :laser:
 
Masista duu hawakai Kimara mkuu, huyo anaonekana kabisa ni mdada wa Sinza au Mwenge, hela huna masharti kibao!
 
Back
Top Bottom