vyumba vinapangishwa

vyumba vinapangishwa

Chabo

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
1,098
Reaction score
1,176
Chumba kimoja na sebule pamoja na maliwato ndani umeme na maji vipo.kibamba dar es salaam kodi laki moja kwa mwezi.karibuni
 
Wandugu mbona kimya

We vipi, watu tuna nyumba zetu unatulazimisha kupanga?!!!
Mwana Mtoka Pabaya anataka nyumba, lkn kakwambia viko mbali hivyo vyumba vyako, sasa si uvilete Kimara kama alivyotaka, unadhani nani anataka kuishi km 678 kutoka City Centre kwenye nyumba ya kupanga.

Mbali nitakaa kama mjengo wangu sio kupanga halafu kuja job mabasi ma4, vilete Kimara soko lipo
 
Last edited by a moderator:
miezi mingapi kodi unataka,pia umbali kutoka morogoro road?
 
duh! chumba kipo kibamba then kisogee mpaka kimara
 
Nyinyi mnaotaka vyumba visigee nashauru msishiriki kugombea wala kupiga kura uchaguzi wowote ndani ya miaka kumi ijayo
 
Mkuu mbona hujielewi?hivi hapa dar kuna mahali ambapo ni mbali?ww unaishi wapi?je kama unaishi upanga na kazi unafanyia bunju mbali kutakuwa bunju au upanga?ok turudi kwenye point,kama mtu anafanya kazi kibaha na anaishi kibamba na wewe unaishi sinza kazi kkoo nani anawahi kufika kazini?naomba jibu.
We vipi, watu tuna nyumba zetu unatulazimisha kupanga?!!!
Mwana Mtoka Pabaya anataka nyumba, lkn kakwambia viko mbali hivyo vyumba vyako, sasa si uvilete Kimara kama alivyotaka, unadhani nani anataka kuishi km 678 kutoka City Centre kwenye nyumba ya kupanga.

Mbali nitakaa kama mjengo wangu sio kupanga halafu kuja job mabasi ma4, vilete Kimara soko lipo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom