Vyumba vinapangishwa Dodoma

Vyumba vinapangishwa Dodoma

milionea wa kesho

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Posts
328
Reaction score
632
Wakuu kuna vyumba viwili vinapangishwa. Nyumba ipo maeneo ya maili mbili Dodoma.

Gharama ni 30,000/= kwa chumba kimoja na unaweza kulipia kuanzia miezi mitatu. Hakuna hela ya dalali, unanipa hela mwenyewe.

Vyumba vipo kwenye hali nzuri. Umeme wa Tanesco, maji ya Duwasa. Choo cha ndani. Sakafu ya sementi na gypsum.

Kwa wahitaji, niPM
 
Asantee kwa Taarifa.
Picha kama zipo sio mbaya mkuu
 
Mie nahitaji nyumba yakupanga Dom kuanzia mwezi ujao wa nane 2019.
 
Nyumba nzuri zipo mkuu kuanzia laki 3 na kuendeleaa maeneo karibu na mjini tuwasiliane boss Whatsapp /call 0656-548919
Instagram@dalalibeka_dodoma
 
Nimeona instagram ntakucheki soon mkuu.
 
Wakuu kuna vyumba viwili vinapangishwa. Nyumba ipo maeneo ya maili mbili Dodoma.

Gharama ni 30,000/= kwa chumba kimoja na unaweza kulipia kuanzia miezi mitatu. Hakuna hela ya dalali, unanipa hela mwenyewe.

Vyumba vipo kwenye hali nzuri. Umeme wa Tanesco, maji ya Duwasa. Choo cha ndani. Sakafu ya sementi na gypsum.

Kwa wahitaji, niPM
Oya najua ni nje ya Topic lakin niko na tafuta frem ya kufanyia biashara Dodoma mjin... Vip una weza nisaidia!??

Najua iko nje ya maada
Niko natafuta frem. Ya kufanyia biashara Dodoma mjin

Waweza nisaidia???
 
Unataka kufanya biashara gani mkuu maana kila biashara ina location zake. Kuna fremu ninayo kwa kuanzia
Oya najua ni nje ya Topic lakin niko na tafuta frem ya kufanyia biashara Dodoma mjin... Vip una weza nisaidia!??

Najua iko nje ya maada
Niko natafuta frem. Ya kufanyia biashara Dodoma mjin

Waweza nisaidia???
 
Mkuu fafanua kwenye hili.
Nyumba ina/inaweza kubeba wapangaji wangapi?

Kuna nyumba moja nilipelekwa area A, lile ni bweni bhana. Lina vyumba 24, 12 vipo kulia, 12 kushoto.
Kuna wengine kukaa kwenye watu wengi sana ni mtihani.

Namba ya simu ni muhimu.
 
Nyumba inaweza kuchukua wapangaji wanne tu. Karibu mkuu
 
Samahani mkuu...simu yangu ina shida kwenye kamera (spark k9, wanaozifahamu watajua namaanisha nini).

Ila vyumba vipo vizuri
Spark K9 mbona mkuu inapeleka picha vizuri,labda useme kuwa kuna features huwezi kuzitumia hapo tutakuelewa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom