Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,521
- 14,000
Brand gan boss?
Mkuu , hiyo lugha uliyotumia sio sahihi. Bora ungesema , masinki ya choo, kuliko kusema unauza vyoo. By the way, nakutakia biashara njemaHabari zenu wadau?
Ninauza vyoo aina inayookekana pichani ni vipya kabisa vipo kwenye boksi lake,bei ni 210,000/= kwa kila choo
Mawasiliano njoo PM
.
DuhMkuu , hiyo lugha uliyotumia sio sahihi. Bora ungesema , masinki ya choo, kuliko kusema unauza vyoo. By the way, nakutakia biashara njema
[emoji106] [emoji106]
Mawazo yako ndio akili yako!Mkuu , hiyo lugha uliyotumia sio sahihi. Bora ungesema , masinki ya choo, kuliko kusema unauza vyoo. By the way, nakutakia biashara njema
Wewe wenzako wanataka kutengeneza hela wewe unataka fundisha lugha..Mkuu , hiyo lugha uliyotumia sio sahihi. Bora ungesema , masinki ya choo, kuliko kusema unauza vyoo. By the way, nakutakia biashara njema
Natambua kuwa MTU yeyote haiwezekani kufahamu kila kitu humu duniani. Kila siku tunakumbana na vitu vipya kabisa. Na tutaendelea kujifunza vitu vipya hadi tukiwa wazee. Hivyo, lazima kukubali mabadiriko inapobidi hivyo.Mawazo yako ndio akili yako!
Asante kwa elimu,lakini zaidi ya yote mm hapa natafuta wanunuzi na nimeambatanisha na picha hivyo hata kama ningesema nauza mtumbwi wakati watu wanaona picha ya kitu kingine,nadhani nisingeeleweka zaidi.Natambua kuwa MTU yeyote haiwezekani kufahamu kila kitu humu duniani. Kila siku tunakumbana na vitu vipya kabisa. Na tutaendelea kujifunza vitu vipya hadi tukiwa wazee. Hivyo, lazima kukubali mabadiriko inapobidi hivyo.
Kama bado unaamini hilo sinki ni choo, je kwa kiingereza linaitwa toilet?. Kwa kiingereza linaitwa Water closet (WC), Kwa hiyo vya kukaa ni European type WC, na vile vya kuchuchumaa ni Esian type WC. Tukubali kujifunza inapobidi.
Muwe mnasoma Uzi! Ukielewa ndio u-commentMkuu mbona vinaonekana kama vimefitishwa tayari au ulifitisha kisha ukaving'oa?
goodoneBrand gan boss?
Umeeleza vema sana, wala hakuna ubishi. Japo kwasisi waswahili hicho ni choo na bilashaka ameeleweka. Choo cha kukaa na kunachoo cha kuchuchumaa bilakusahau choo cha shimo. Sinki si lugha yetu. Pamoja na hayo tumejifunza kitu kwa ufafanuzi wakoNatambua kuwa MTU yeyote haiwezekani kufahamu kila kitu humu duniani. Kila siku tunakumbana na vitu vipya kabisa. Na tutaendelea kujifunza vitu vipya hadi tukiwa wazee. Hivyo, lazima kukubali mabadiriko inapobidi hivyo.
Kama bado unaamini hilo sinki ni choo, je kwa kiingereza linaitwa toilet?. Kwa kiingereza linaitwa Water closet (WC), Kwa hiyo vya kukaa ni European type WC, na vile vya kuchuchumaa ni Esian type WC. Tukubali kujifunza inapobidi.
Hivyo ni mjengoni kwangu,vinavyouzwa the same brand and type,lakini ni vipya kabisa vipo kwenye box!Mkuu mbona vinaonekana kama vimefitishwa tayari au ulifitisha kisha ukaving'oa?
5litresvinaflash liter ngapi?
Tulia mkuu mwenye biashara yake atatoa jibuMuwe mnasoma Uzi! Ukielewa ndio u-comment
Hivyo ni mjengoni kwangu,vinavyouzwa the same brand and type,lakini ni vipya kabisa vipo kwenye box!