NotedWakuu habari za jumapili..
Awali ya yote napenda kuwapongeza wachezaji, kocha, benchi la ufundi uongozi mashabiki,wapenzi, wanachama wa Simba football club. Na Watanzania wote kwa ushindi wa Jana dhidi ya Algeria..
YES WE CAN..
masikitiko yangu ni kwa menejiment ya Uwanja wa Taifa ama Timu ya uendeshaji wa Uwanja vyoo vya uwanja wa Taifa ni aibu kubwa, kwa uzoefu tulio nao Waswahili hatuna utamaduni wa kuwa na nidhamu kwa maeneo ya vyooni. Ukiingia vyoo vya uwanja wa Taifa kuna Uchafu ulio kithiri mtu anaenda chooni anakunya anatwadha kwa chupa ya juice na kutupia chupa hiyo humo humo.
Mapendekezo yangu.!
Huduma ya vyoo uwanja wa Taifa ibinafsishwe na viwe vyoo vya kulipia hii itaongeza umakini wa usafi na kuhudumia vyoo,na kipato kwa TFF na serikali kwa ujumla kama uwanja unaingiza watu 60,000 na watu 10000 tu wakaenda chooni kila mtu akatoa tsh 100 au kwa huduma yoyote. Bila shaka kutakuwa na kama milioni 100.
Faida sio tu kipato kwa TFF, timu husika na serikali, pia hii itakuwa sehemu ya ajira kwa waliokosa ajira, jambo hili pia litatuhakikishia mazingira salama kwa sisi mashabiki wa soka na uhakika wa Afya zetu na kutuondelea fedheha hii.
Mwisho watakapo binafsisha huduma hii ya vyoo ni bora vikatengwa pia vyoo kwa ajili ya watoto ni aibu kwa mzazi kumpeleka mtoto wake chooni kwa haja ndogo au kubwa kisha akakutana na watu wazima wako uchi sio jambo jema.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu likipitishwa naomba tenda ya kuendesha huduma ya vyoo uwanja wa Taifa.Noted
Kiingilio mpirani ni pamoja na huduma ya Choo. Kutoza tena si sawa.Wakuu habari za jumapili..
Awali ya yote napenda kuwapongeza wachezaji, kocha, benchi la ufundi uongozi mashabiki,wapenzi, wanachama wa Simba football club. Na Watanzania wote kwa ushindi wa Jana dhidi ya Algeria..
YES WE CAN..
masikitiko yangu ni kwa menejiment ya Uwanja wa Taifa ama Timu ya uendeshaji wa Uwanja vyoo vya uwanja wa Taifa ni aibu kubwa, kwa uzoefu tulio nao Waswahili hatuna utamaduni wa kuwa na nidhamu kwa maeneo ya vyooni. Ukiingia vyoo vya uwanja wa Taifa kuna Uchafu ulio kithiri mtu anaenda chooni anakunya anatwadha kwa chupa ya juice na kutupia chupa hiyo humo humo.
Mapendekezo yangu.!
Huduma ya vyoo uwanja wa Taifa ibinafsishwe na viwe vyoo vya kulipia hii itaongeza umakini wa usafi na kuhudumia vyoo,na kipato kwa TFF na serikali kwa ujumla kama uwanja unaingiza watu 60,000 na watu 10000 tu wakaenda chooni kila mtu akatoa tsh 100 au kwa huduma yoyote. Bila shaka kutakuwa na kama milioni 100.
Faida sio tu kipato kwa TFF, timu husika na serikali, pia hii itakuwa sehemu ya ajira kwa waliokosa ajira, jambo hili pia litatuhakikishia mazingira salama kwa sisi mashabiki wa soka na uhakika wa Afya zetu na kutuondelea fedheha hii.
Mwisho watakapo binafsisha huduma hii ya vyoo ni bora vikatengwa pia vyoo kwa ajili ya watoto ni aibu kwa mzazi kumpeleka mtoto wake chooni kwa haja ndogo au kubwa kisha akakutana na watu wazima wako uchi sio jambo jema.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni million moja 1000000Kibinadamu makosa hayakosekani mkuu.
Chukua wazo langu lirekebishe mahali stahiki kisha tulione kama litafaa.
Pamoja twaweza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Numeona sehemu nyingi mtu unaenda kupata huduma lakini choo unalipia.Kiingilio mpirani ni pamoja na huduma ya Choo. Kutoza tena si sawa.
Lakini nakubaliana nawe kuhusu tabia za uchafu au kutoweza kutumia vyoo ipasavyo.
Kuna watu washenzi hadi wanakojoa kwenye sink za kunawia mikono.
Bila kuwatukana watu, lazima tukubali idadi kubwa ya mashabiki vyoo hivyo ni vitu vigeni kwao. Mazoea yetu ya vyoo vya shimo.
Yaani ipewe kampuni kuendesha vyoo. Inaweza kuwa wazo zuri maana hali inatia kinyaa sana.Numeona sehemu nyingi mtu unaenda kupata huduma lakini choo unalipia.
Kukiwa na utaratibu wa kulipia huduma ya choo kutakuwa na nidhamu ya matumizi yake.sabbu atokaye huko atawajibika kwa uchafu au matumizi ya hovyo aliyoyafanya huko chooni.
Haiingii akilini mtu umeweza kulipa tsh 10000 ya kiingilio au tsh 5000 halafu ushindwe 200 ya chooni au 300.
Sabbu tumeshindwa kuwa na nidhamu ya matumizi yake ni vema ikawa biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
200x10,000 = 2,000,000Wazo zuri sana. 200×10,000=20,000,000. Hapo kampuni itakayopewa tenda inaweza chukua vijana at least 50 iwalipe hata @ mmoja 50,000 kwa siku ya kazi. Hao kazi yao ni kusafisha muda wote inapobidi na kusimamia matumizi sahihi.
Si dakika 90. Hujajumuisha muda aliotumia kufika uwanjani, na mara nyingi wengi wanawahi kabla ya muda pia.Kukaa dakika 90 uwanjani unakimbilia kunya, kwa nini usinye nyumbani kwako halafu ndo uende kuangalia match, au una agenda maalum na tenda ya vyoo vya uwanja wa taifa. Inaonekana wazi kwamba hauwezi kusafiri safari ndefu kama kutoka Dar - Mtwara masaa 14 njiani, au ulikuwa umepanic au unaminyoo .Hebu chunguze kwanza...
Kwa usongo ulionao nahisi wachambia makopo wote utasukuma ndani.Mkuu likipitishwa naomba tenda ya kuendesha huduma ya vyoo uwanja wa Taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
It seems hujawahi kuingia kwa Mchina. Umezoea Tandika sokoni.Kukaa dakika 90 uwanjani unakimbilia kunya, kwa nini usinye nyumbani kwako halafu ndo uende kuangalia match, au una agenda maalum na tenda ya vyoo vya uwanja wa taifa. Inaonekana wazi kwamba hauwezi kusafiri safari ndefu kama kutoka Dar - Mtwara masaa 14 njiani, au ulikuwa umepanic au unaminyoo .Hebu chunguze kwanza...