Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,939 Reaction score 8,883 Jan 10, 2020 #1 Katika "Harakat National ID" nilipita Uhamiaji mapema saa tatu na hii ni Hali ya vyoo vyao. Bibi Afya na Bwana Afya wakija kukagua kampuni binafsi wanatoza mi faini mikubwa huku vyoo vya serikali Hali Ni mbaya zaidi! Bwana Adrian hapo Uhamiaji nakukubali Sana kiutendaji hasa namna ulivyonihudumia. Hebu fanya namna wiki Ijayo nikija nikute mabadiliko. Hilo ezeko hapo kwenye ngazi ulitokea Ofisini kwako na hapo chini Ni pachafu Sana! Ningetapika Ila sikuwa nimekunywa chai asubuhi ile! Mimi Ni Maintenance Supervisor and Inspector katika kampuni yetu. Najibidiisha katika Environment awareness!
Katika "Harakat National ID" nilipita Uhamiaji mapema saa tatu na hii ni Hali ya vyoo vyao. Bibi Afya na Bwana Afya wakija kukagua kampuni binafsi wanatoza mi faini mikubwa huku vyoo vya serikali Hali Ni mbaya zaidi! Bwana Adrian hapo Uhamiaji nakukubali Sana kiutendaji hasa namna ulivyonihudumia. Hebu fanya namna wiki Ijayo nikija nikute mabadiliko. Hilo ezeko hapo kwenye ngazi ulitokea Ofisini kwako na hapo chini Ni pachafu Sana! Ningetapika Ila sikuwa nimekunywa chai asubuhi ile! Mimi Ni Maintenance Supervisor and Inspector katika kampuni yetu. Najibidiisha katika Environment awareness!
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,020 Reaction score 22,078 Jan 10, 2020 #2 Na kampeni yao nyumba ni choo wanaamini choo ni kile chenye tiles ..wanasahau ata usafi ni choo
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,105 Jan 10, 2020 #3 Usafi muhimu
Qurie JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 3,645 Reaction score 3,889 Jan 10, 2020 #4 Waajiri mtu wa usafi Basi Kama hayupo Sent using Jamii Forums mobile app