malimangapi
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 238
- 48
Taasisi hizi zikiwemo Polisi, na Usalama wa Taifa zimekuwa hazifanyi kazi zao kukidhi mahitaji ya KATIBA ya Nchi wala matakwa ya Uanzishwaji wa vyombo hivi bali kufuata utashi wa Raisi aliye Madarakani.
Maana yake ni kwamba vyombo hivi havitumikii Taifa bali Mtu. Mfano ni wa huyu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Ndugu Sabaya, Ujambazi na Uharamia wake ulikuwa unajulikana wakati wote wa utawala wa Hayati John Pombe Magufuli, lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa kisheria dhidi yake.
Bila shaka kama kungekuwa hakuna mabadiliko ya Kiutawala Leo Sabaya angekuwa bado ni Mkuu wa Wilaya ya Hai