Vyombo vya habari vyampotezea Bashite, isipokuwa gazeti la CCM hivyo "Kick" imezimwa

Magazeti yote ya siku ya leo yakiwemo hata yale ya serikali hayajaandika chochote kuhusu mahojiano ya Makonda yaliyofanyika katika studio za Star tv siku ya jana isipokuwa gazeti moja tu la Uhuru ndio ambalo limeripoti habari ya mahojiano hayo.

My take
:
Makonda sijui atakuja kuwa mgeni wa nani nchi hii.
Baada ya miaka kumi akaombe ukimbizi Somalia.
 
Magazeti yote ya siku ya leo yakiwemo hata yale ya serikali hayajaandika chochote kuhusu mahojiano ya Makonda yaliyofanyika katika studio za Star tv siku ya jana isipokuwa gazeti moja tu la Uhuru ndio ambalo limeripoti habari ya mahojiano hayo.

My take
:
Makonda sijui atakuja kuwa mgeni wa nani nchi hii.
Ataenda kuishi kwa Madiba
 
Utawaweza hao nyumbu. Maana mpaka muda huu wao ndio wanamjadili Makonda huku wakijifanya kutomwandika kwenye magazeti yao

Nilicheka sana juzi...Clouds walipotumia 80% ya muda wao kujibu mahojiano ya Makonda na Startv...kumbe mpaka wao walikuwa nyuma ya screen wakimwangalia.
 
Sio magazetini tu.Na humu javini ni wa kupotezwa tu.Mtu akiweka uzi umamhusu bashite usijadiliwe.Huyu jamaa ni wakufutwa kabisa kwenye vinywa vya watanzani.Kama ningekuwa na uwezo ,hata magu angefutwa .
 
Back
Top Bottom