Vyombo vya habari vyampotezea Bashite, isipokuwa gazeti la CCM hivyo "Kick" imezimwa

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
Habari,
Bwana yule alijitokeza jana ili leo aandikwe kama alivyotarajia ila hajapata "fort page" kama alivyotarajia kujisafisha hivyo liko wazi hasafishiki.

Pole sahara media na team Dialo ila mtavuna mlichopanda kwa kujitoa kwenye umoja kisa tumbo

5e8981d79b15c4ef665bb594cebb2e54.jpg
25ca10aded74dfeebcb249f18fc6abbc.jpg
90a4a2b98cacd34819256550d3469846.jpg
4cac562cb43b6542261d9f4e7610e893.jpg
30a410e408b517f3e70c00d5b74fcabb.jpg
d1acc64e844ea28fe46e194fdc93f598.jpg
 
Magazeti yote ya siku ya leo yakiwemo hata yale ya serikali hayajaandika chochote kuhusu mahojiano ya Makonda yaliyofanyika katika studio za Star tv siku ya jana isipokuwa gazeti moja tu la Uhuru ndio ambalo limeripoti habari ya mahojiano hayo.

My take
:
Makonda sijui atakuja kuwa mgeni wa nani nchi hii.
 
Nasikia kuna lile gazeti pendwa linaloongoza kusomwa LUMUMBA lenyewe limeripoti hii habari.
 
Magazeti yote ya siku ya leo yakiwemo hata yale ya serikali hayajaandika chochote kuhusu mahojiano ya Makonda yaliyofanyika katika studio za Star tv siku ya jana isipokuwa gazeti moja tu la Uhuru ndio ambalo limeripoti habari ya mahojiano hayo.

My take
:
Makonda sijui atakuja kuwa mgeni wa nani nchi hii.
We kwa akili yako, jana zile habari mbona zimefika kila sehemu... Yaani ata Mange kasoma na kumpost.. Tena jana kipindi kulikua Mubashara..
 
Makonda amechafua watu wengi sana, amewachafua mpaka familia ya raisi Mstaafu JK, ila analindwa na baba yake, wananchi hatumtaki huyu mkoromije
 
Makonda Ni mwehu jamani, Sio kwa interview ile yaani jamaa kaongea pumba kupita kiasi bora asingefanya imemuongezea utata Kwa jinsi alivyoshindwa kueleza ukweli kuhusu historia ya elimu yake.
Huyu jamaa kweli Ni zero bashite.
Aliyemteua anajiaibisha sana Kwa kuendelea kumlea Huyu
 
Back
Top Bottom