Wana JF naomba tulijadili hili kwa kina. Kuna habari iliyorushwa leo jioni na kutangazwa ya chombo cha habari cha nchi JIRANI katika Televisheni kuonyesha jinsi watanzania WANAVOTESEKA.
Jambo LILILO NISIKITISHA sana nikuona Watanzania waliohojiwa na walionyesha nia ya kuuonyesha ulimwengu jinsi Tanzania ilivyoharibika.
Wahojiwa mbali mbali walisema nami nanukuu.
"Huku Tanzania maisha yetu sasa ni MAGUMU sana.Vitu VYOTE VIMEPANDA BEI. Unga shilingi elfu 2000, Sukari nayo iko juu nk
Tuliambiwa mambo yatarekebika lakini maisha yanazidi kuwa MAGUMU sana na sijui itakuwaje" Mwisho wa kunukuu.
Swali langu ni hili.
Kwanza SIKATAI inawezekana gharama ya maisha ikawa imepanda kiasi kutokana na mvua za kusua sua, Mafuriko nk katika baadhi ya maeneo ya nchi ikiwa ni pamoja na factors/visababisho vingine mbalimbali vilivyoleteleza hali hiyo.
Lakini je ni BUSARA kweli kama Watanzania WAZALENDO kuuambia ULIMWENGU kuwa UNG, Vitu, Sukari vimepanda?
Huko nje ya nchi WATATUPUNGUZIA bei ya unga?
Halafu picha ya KITONGONJI hicho ilichaguliwa MAKSUDI maana ni DUNI sana ili KU DRIVE point yao katika KUICHAFUA Tanzania kama vile ni watu maskini sana na huyu Rais AMESHINDWA kutatua changamoto za wananchi wake.
Swali habari kama hii na SPONSORS wake, Je watakapokuwa WAMEIABISHA Tanzania ndo UNGA utashuka bei na ni nini NIA yao?
Hebu tuweni wazalendo. Sina tatizo kama chombo cha habari kingekuwa ni LOCAL TV na watu wazungumze hayo. Lakini si kwa watu wa nje jamani.
Ni kweli tunapitia changamoto, lakini mambo mengine yawe ni siri ya nyumbani.