Vyombo vya habari Tanzania na hatma yetu

Kanisa halijawatenga au kuwafukuza wahusika kwa sababu ni CCM. Kanisa Katoliki linafuata sheria zake (Lanon Law), hivyo hawakukurupuka kufanya maamuzi hayo.

Kama ni udini, kwa nini iwe ni kwa Sumbawanga Mjini tu? Kwani wako wabunge wangapi walioshinda kwa tiketi ya CCM ni Wakatoliki na hawajatengwa au kunyimwa huduma za kiroho?

Kwa Mkatoliki ni kufuru kubwa mtu kujipachika nafsi yoyote katika Utatu Mtakatifu. Kama watu hao walishiriki kushabikia mgombea aliyeukufuru Utatu Mtakatifu, ni haki wapewe adhabu waliyopewa.
 
Mwandishi hajahukumu uamuzi wa Kanisa, ila karipoti yanayotokea huko Sumbawanga baada ya Uchaguzi. Sasa wewe kinachokukera ni nini? whether Kanisa liko sahihi au haliko sahihi wewe unakereka nini?
Kinachonikera ni jinsi anavyoripoti, anavyoingiza udini ndani yake anavyohusisha itikadi za kisiasa, mbona matukio ya kusimamishwa na kutengwa waumini yako mengi hayariporiwi kama navyoripoti huyu?
 
Back
Top Bottom