Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,198
- 162,745
Hivi huko Musoma hakuna reporters wa vyombo vya habari(magazeti,radio na Tv)?!
Nimeuliza hivi kwasababu maandamano ya Musoma yameanza tangu jana ila cha ajabu sijasikia wala kuona yakiripotiwa na chombo chochote cha habari!
Magazeti ya leo kimya,taarifa za habari tangu jana mpaka muda huu kimya! Cha kushangaza hata Tanzania daima la leo nalo kimya!Au serikali imewaziba midomo?!
Hata hivyo,kama kuna mtu amesoma au kusikia taarifa ya maandamano haya basi atujuze na niko tayari kukoselewa.
Na kama yameripotiwa popote,basi ni wazi habari hizi hazijapewa uzito wa kutosha ila badala yake magazeti mengi yameripoti kuizihaki CHADEMA kuwa "imeufyta" n.k