Vyombo vya habari duniani mwaka 3012

Unaupeo mkubwa snaa wakufikiria mkuu, congratulations and make Ur iedeas give you money,
 
Mwaka 3000 ni mbali sana aisee.....sidhani kama hii thread itasomwa maana JF itakuwa imeshakufa.
Asee yani ameenda mbali sana kuna uwezekano masihii atakuwa ameshakuja wachukua wakwake[emoji16][emoji870]
 
Unaota wewe 2050 yenyewe sijuiiii....!
 
2300 ni mbali sana hata mtoto atakae zaliwa 2121 hawez fika 2300 ..
 
Sijui ulikuwa unawaza nini wakati huo
 
Nafasi ya Mungu mmeiweka wapi
Uovu ukizidi Mungu huwa anapita kusafisha na maisha yanaanza tena
Dunia haiwezi kufika huko

Lakini kuna silaha ambazo binadamu wanatengeneza zenye uwezo wa kuangamiza dunia sasa kuna siku atapewa mamlaka makubwa mwendawazimu fulani
Atakuja kusambaratisha kila kitu
Watabaki wachache wasioweza kutengeneza hata [emoji516]
Maisha yataanza upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…