Vyombo vya habari duniani mwaka 3012

Umetabiri sana, ila naona kama itakuwa mapema zaidi....
Natamani niwepo
 
Cecy anasema Cosmas mpaka kufa nami nasema Cecy wa kufa na kuzikana
 

Kutakuwa na kitabu kinaitwa Waraka wa Nabii Free ideas kwa Watanzania wote
 
Huu uzi nitausoma
 
Possible hizi ni Siri za wanaouendesha ulimwengu. Mfano nostradamus miaka mingi alitabiri yalioneka haiwezekani zama zile but yamekuwa.
Ulimwengu usioonekana umeendelea mara elf moja yaani upo mbele Sana kuliko huu unaonekana. Mfano flat screen, computer, radar, ndege vita na abiria, satellite, magari ya kisasa wao walikuwa nayo tangu zaidi ya miaka elf 3 iliyopita hata kabla ya ujio wa Yesu. Check mfano tu technology yao ya UFO hakuna mwanadamu yeyeto anaweza fukuza au kamata chombo cha UFO ukisogelea tu chombo cha binadamu ni lazima kiyeyuke kwa moto. Ufo ni real sio fiction, ni viumbe vipo sayari za mbali
 
Maendeleo yote duniani ni copy and paste toka ulimwengu usioonekana
 
Ona huyu kerubi
 
Mwaka 3000 hakutakuwa na binadamu duniani
The humankind will have disappeared..

The world will generate its own new species according to the climate change by then...

Binadamu wa sasa specie yetu wala haifiki 2500... Painful.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…