Vyombo vya habari duniani mwaka 3012

Haya mambo huwa mnajidanganya na kudanganyana tu hakuna ukweli wowote!

Haya[emoji116]
... viumbe kutoka kwingine (aliens)...
... watu kuishi kinyume na duniani...
... kuunda watu maabarani...
... kujibadili/geuza jinsi...

Mwisho japo si kwa umuhimu...
Huo mwaka tutafika kweli?
 
Free ideas indeed.
 
Hiv ww unaishi dunia gan? Hiyo ya kubadir jinsia mbona ipo sana tu ata sahv kwa kizungu sindio mnaita transgender
 
Makaburi yatapotea kabisa
 
Muda uliotumia kuandika utumbo huu ni bora ungelima bustani ya nyanya.!!!
 
quran ina zaidi ya miaka 1400+ na haijapitwa na wakati bali sisi ndio tunazidi kuwa old fashioned....don't mess with it..
 
Kabisa umepata muda wa kuandika huu utopox
 
Tutakuwa kwenye galaxy nyingne huko tunakula bata sisi ambao tuna reincanate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…