Vyombo vya habari duniani mwaka 3012

Mkubwa 2300 bado mbali sana pia.
Huu ni mwaka 2021,ina maana mtoto aliyezaliwa leo mwaka 2121 tarehe kama ya leo atakuwa anatimiza miaka 100 kamili.
Maana yake ni kuwa ambao tupo muda huu duniani na mishe zetu,kipindi hicho hata makaburi yetu yatakuwa yamejaa magugu!.
 
Namba 8, ukienda U.S. ni dhahiri wao walishaanza na kina Biden wanashadadia mpaka wanaboa, baadhi ya hospital zimeanza questionnaires, eti are you happy being with your gender! Mtu alishajizeekea unamuhoji juu ya gender!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Iyo taarifa ya habari iliyobeba habari 30 itakuwa inatumia masaa mangapi.
 
Sijaona taarifa inayohusu milipuko ya magonjwa. Kumbe miaka hiyo watu watakuwa hawaugui ama kutakuwa kuna dawa za kila ugonjwa?
 
MKUU UNA UPEO MKUBWA SANA. VIJANA WALIOZOEA HABARI ZA HARMONIZE NA RAYVANNY NDIO HAWATAELEWA UMEANDIKA NINI. LAKINI KWA TEKNOLOJIA INAVYOENDA KASI MWAKA 3000 NI MBALI SANA. HAYA ULIYOANDIKA YATATOKEA MAPEMA SANA KWENYE MIAKA YA 2200 TU HAPO.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Asante sana bro pamoja
 
Ndio tufahamu kuwa dunia tunapita ndugu
 
Mkuu mimi natabiri hapo baadae elimu itakuwa inakua installed kichwani kama software yeyote.

Yaani ukitaka kupata knowledge ya engineering unanunua software yake unakwenda kwa wataalam wanainstall.

Tayari.
 
Speed Boat yenye uwezo wa kusafiri Km 20,000 kwa saa imezinduliwa leo makao makuu ya Umoja wa Africa Dar es Salaam, Boti hiyo inauwezo wa kutoka Pwani ya Africa Mashariki kupitia South Africa hadi United states kwa Masaa 1 na nusu tu. Ndani ya Boat hiyo kuna Sports Arena (uwanja wa Mpira, tennis court etc), Shopping malls, Hotels na Nyumba za Ibada.

Boti hiyo kwa siku itakuwa na uwezo wa kutola Africa, Amerika, Asia, Europe na kurudi Africa kwa muda wa masaa 8 tu, itakuwa na uwezo wa kubeba watu 10,000 kwa wakati mmoja.
 
Achana na 3000, 2100 tu 100% ya tunaokomenti hapa hatutakuwepo duniani, so painful aisee!
Maisha ni mafupi mnooo, ila waliozaliwa 2000 mwanzoni wanaweza kuwepo sema kwa uchache sana sana
 
Maisha ni mafupi mnooo, ila waliozaliwa 2000 mwanzoni wanaweza kuwepo sema kwa uchache sana sana
Sidhani, hata aliyezaliwa 2010 kwa kizazi hiki kufika miaka 90 ni mbinde.
 
May be...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…