Vyeti vya sekondari

Vyeti vya sekondari

oil sumu

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
787
Reaction score
47
habari wadau? eti ni kweli vyeti vya sekondari (kidato cha 4 na 6) vinarudi wizarani mwishoni wa mwezi huu kama ujaenda kuchukua shuleni
 
Ni kweli na ukifata wizarani unapay 100K according to tetesi
 
habari wadau? eti ni kweli vyeti vya sekondari (kidato cha 4 na 6) vinarudi wizarani mwishoni wa mwezi huu kama ujaenda kuchukua shuleni

hapana ni uongo hata Mimi nilidanganywa nikaenda jana shuleni nilipo malizia form six wamekataa hixo taarifa hawana hivyo basi kuna mtu alicreate tuuu hio sms
 
Back
Top Bottom