Vyeti vya NIDA vinahusika kuomba ajira?

Vyeti vya NIDA vinahusika kuomba ajira?

EDDOX

Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
9
Reaction score
2
Wadau naomba kujua hivi katika suala la kuajiriwa,je cheti cha kuzaliwa na NIDA navyo vinahusika sambamba na vyeti vya taaluma..
 
Wadau naomba kujua hivi katika suala la kuajiriwa,je cheti cha kuzaliwa na NIDA navyo vinahusika sambamba na vyeti vya taaluma..
Bila kuwa na hivyo kaa pembeni tuu wapishe wadau kwenye mchakato ww ukalime matikiti maji😀
 
Back
Top Bottom