E eddy JF-Expert Member Joined Dec 26, 2007 Posts 17,079 Reaction score 12,313 Apr 15, 2017 #21 mhugo hantish said: NDIYO, sio mara yake ya kwanza kufundisha ndoa, na hadi sasa ana umri wa kazi hiyo ambao kwa sasa anastahili kuretire kabisa Yaani. Click to expand... labda anamashaka na ndoa yenu haitadumu asijebeba lawama, au kapata mtonyo kandoa keni hakajakaa sawa.
mhugo hantish said: NDIYO, sio mara yake ya kwanza kufundisha ndoa, na hadi sasa ana umri wa kazi hiyo ambao kwa sasa anastahili kuretire kabisa Yaani. Click to expand... labda anamashaka na ndoa yenu haitadumu asijebeba lawama, au kapata mtonyo kandoa keni hakajakaa sawa.
mhugo hantish Senior Member Joined Apr 21, 2015 Posts 137 Reaction score 36 Apr 17, 2017 Thread starter #22 eddy said: labda anamashaka na ndoa yenu haitadumu asijebeba lawama, au kapata mtonyo kandoa keni hakajakaa sawa. Click to expand... Ameingia kwenye maombi eh?
eddy said: labda anamashaka na ndoa yenu haitadumu asijebeba lawama, au kapata mtonyo kandoa keni hakajakaa sawa. Click to expand... Ameingia kwenye maombi eh?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,931 Apr 17, 2017 #23 Hapa kuna tatizo siyo bure, mbona sehemu zingine wanapewa vyeti vya ndoa siku hiyo hiyo?
swagazetu JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 4,256 Reaction score 1,476 Apr 17, 2017 #24 vinatakiwa kusainiwa palepale mbele ya mchungj na waumini.