Vyeti vya godfrey j siringwe

Vyeti vya godfrey j siringwe

mkulima maskini

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
254
Reaction score
50
Habari...tumeokota vyeti vya ndugu GODFREY J SIRINGWE aliyesoma O Level Majengo Sec Moshi na kuhitimu October 2011 na kujiunga na UDSM kwasasa ... Kwa yeyote anayemfahamu Tafadhali awasiliane na 0718818695 /0718199793 kwa msaada zaidi namna ya kuvipata...
Tunomba tuusambaze ujumbe huu magroup mengine ikiwa ni kumsaidia ndugu kuvipata vyeti vyake
Ahsante
 
Habarini wadau. kuna dogo anaitwa petro g. fuli alipoteza vyeti mwezi mei kati ya kasulu na kibondo. atakayeviona si vibaya akawasiliana na mwenye namba 0768086575
 
nimeitoa group la whatsap hii msg
Habari...tumeokota vyeti vya ndugu GODFREY J SIRINGWE aliyesoma O Level Majengo Sec Moshi na kuhitimu October 2011 na kujiunga na UDSM kwasasa ... Kwa yeyote anayemfahamu Tafadhali awasiliane na 0718818695 /0718199793 kwa msaada zaidi namna ya kuvipata...
Tunomba tuusambaze ujumbe huu magroup mengine ikiwa ni kumsaidia ndugu kuvipata vyeti vyake
Ahsante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom