Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,312
- 10,494
...sijawahi kuona umuhimu wa hivi vyeti japo kuna ambao tulikuwa tunaviona kama mlango wa maisha ka tukivikosa. Kiboko ukutane na viongozi wakali sasa kama wa sijui Huima, au UKWATA, sijui TYCS, mara TAFES, sijui chama gani kile cha waislam, asee kama ulikuwa mchungulia madisco utavisikia radioni. Nipo na vyeti ka 6 hivi vinapauka tuu!!
Ila ukija katika uhalisia sasa, havina maana kabisa! Huku kitaa hata yule kubwa la maadui aka Mkiti wa chama cha dini chuo/sekondari anakupigia magoti umuajiri....
Ila ukija katika uhalisia sasa, havina maana kabisa! Huku kitaa hata yule kubwa la maadui aka Mkiti wa chama cha dini chuo/sekondari anakupigia magoti umuajiri....