Vyeti vimeokotwa...

Vyeti vimeokotwa...

kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
4,131
Reaction score
6,125
Wakuu ninaimini kubwa JF kuna watu toka kila sehemu hapa Tanzania yetu na wakila kada.
Hiyo Meseji nimefowadiwa namimi naweka kama ilivyo ili kumsaidia huyu mwenzetu.
Asanteni.
Habari...tumeokota vyeti vya ndugu GODFREY J SIRINGWE aliyesoma O Level Majengo Sec Moshi na kuhitimu October 2011 na kujiunga na UDSM kwasasa ... Kwa yeyote anayemfahamu Tafadhali awasiliane na 0718818695 /0718199793 kwa msaada zaidi namna ya kuvipata...
Tunomba tuusambaze ujumbe huu magroup mengine ikiwa ni kumsaidia ndugu kuvipata vyeti vyake
Ahsante
 
Mkuu ubarikiwe sana!,kungelikuwa na watu wengine hata asilimia mbili tu!,mambo yangesonga kabisa na Wabongo tungeishi km vile tupo Paradiso.
 
Wakuu ninaimini kubwa JF kuna watu toka kila sehemu hapa Tanzania yetu na wakila kada.
Hiyo Meseji nimefowadiwa namimi naweka kama ilivyo ili kumsaidia huyu mwenzetu.
Asanteni.
Habari...tumeokota vyeti vya ndugu GODFREY J SIRINGWE aliyesoma O Level Majengo Sec Moshi na kuhitimu October 2011 na kujiunga na UDSM kwasasa ... Kwa yeyote anayemfahamu Tafadhali awasiliane na 0718818695 /0718199793 kwa msaada zaidi namna ya kuvipata...
Tunomba tuusambaze ujumbe huu magroup mengine ikiwa ni kumsaidia ndugu kuvipata vyeti vyake
Ahsante

Unastahili baraka toka kwa Mungu, na kwa tendo hilo la uaminifu Mungu awe jawabu la mahitaji yako ktk maisha. Ukishapata baraka zake Mola, naomba ubadili na hilo jina lako lisije likawa kikwazo cha baraka zako kwa siku za usoni. Stay blessed.
 
Hili tangazo limewekwa huku kwa mara ya tatu.
Ina maana huyu muhusika hapati taarifa toka kwa watu wake wa karibu?
 
Hili tangazo limewekwa huku kwa mara ya tatu.
Ina maana huyu muhusika hapati taarifa toka kwa watu wake wa karibu?

haya matangazo yana harufu ya utapeli believe me na nimekutana nayo sana siku.za karibuni we jidai mwehu uzipigie hizo namba hee ni aibu.fanya karesearch kiaina welcome into DIGITA TANGANYIKA
 
Godfrey j siringwe 12 i civ-b hist-b geo-b kisw-c engl-c phy-c chem-a bio-a b/math-a
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom