Vyeti Vimeokotwa.

Kennedy

Platinum Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
59,064
Reaction score
69,487
Habari Ya Muda Huu Wana Jf.


Vyeti Vimeokotwa Eneo La Tandika Azimio Kwenye Reli Ya Tazara Watoto Wakiwa Wanavichezea Ndipo Jamaa Yangu Alivichukua Vyeti Hivyo.

Nimeona Niweke Majina Ya Vyeti Hivyo Hapa Jf Ikiwa Mtu Yoyote Anamfahamu
Yaweza Kuwa Rahisi Tumpatie.

Majina Yaliyo Kwenye Vyeti Vya Kidato Cha Nne Ni Haya Hapa Chini :-

1.Yakobo Nzingula
Amemaliza Ng'hundi Secondary School 2011.

2.Yakobo Elikana Sahani
Aliyemaliza Mombasa Central School 2012.

Kipo Pia Cheti Cha Kuzaliwa.
Number 0756 52 60 64
Anaweza Kufanya Mawasiliano
 
Aende wapi sasa, au ampigie simu nani, au apige namba ipi ya simu, kwa kifupi ni kwamba atavipata vipi Vyeti vyake
 


Vipeleke kituo cha Police kilichopo karibu nawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…