Mussa Mussa
Senior Member
- Jan 10, 2012
- 138
- 42
Kuna dada anaitwa Joyce emmanuel yesse kapoteza vitambulisho vyake vimeokotwa maeneo ya posta. Kuna kitambulisho cha chuo ardhi university anasoma environmental science and technology pia kitambulisho cha uraia na vitambulisho viwili vya bima ya afya. Kwa yeyote anayemfahamu amwambie afike benk ya posta tawi la samora avichukue. Forward kwenye magroup mengi ili aje kuvichukua.