Majibu ya HIV hayana cheti ila wanatoa testing result sijui kwa kiswahili.
Alafu lengo lako ni nini wewe umehathirika ukaoe asiye athirika?
USHAURI.
onana na daktari mueleze tatizo lako na unwambie nahitaji mke atakupa ushauri mzuri, ikiwepo la kuoa muathirika mwenzio ambaye kuna njia nzuri sana mtakazopewa kwa jinsi ya kukutana kimwili.
But stooop to enlarge UKIMWI asee.