NImpongeze Rais wetu mpendwa JPM kwa kusafisha vyeti feki kwenye utumishi wa umma. Kwa namna yapekee nimpongeze waziri Angela Kairuki kwa umakini mkubwa ktk kutekeleza zoezi hili muhimu.
TaESA: Tatizo hili la vyeti feki na kutumia cheki kimoja watu zaidi ya moja ni kwasababu waajiri ktk utumishi wa umma wamekuwa HAWAITUMII/WANAIKWEPA TaESA(Tanzania Employment Service Agency/taasisi hii iliyowekwa kisheria kama wakala wa serikali wa kumuunganisha mwajiri na mwajiriwa.
Taasisi hii ina ofisi karibu kila mkoa.Pamoja na mambo mengi, taasisi huhakiki cheti cha mwombaji kwa kudai apeleke ORIGINAL CERTIFICATES. Hii inasaidia kuwaondoa wenye vyeti feki toka mwanzoni.
Serikali irudi kwenye kutumia taasisi ambayo inaendeshwa na pesa za walipakodi, lakini haitumika ipasavyo. Waajiri wa utumishi wa umma wapeleke mahitaji ya ajira TaESA, hao ndo wana data base ya waomba ajiri nchi nzima.Preliminary vetting zifanywe na TaESA.
Rushwa na ndugunization ktk mifumo ya uajiri ni chanzo pia cha vyeti feki ktk utumishi wa umma.
Sekretarieti ya utumishi wa umma ifanya kazi pamoja na TaESA.Application zipite TaESA na kufanyiwa preliminary vetting.Na sekretarieti ya umma na waajiri wengine wa umma wafanyishe interview na final vetting.Kwa utaratibu u huo vyeti feki vitapotea kwenye ramani ya utumishi wa umma.