Petrol Tank
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 205
- 372
Kwenye maisha yako ya kawaida ukishavijua hivyo vitakusaidia nini? huna vitu vingine vya kujifunza?Jamani wadau nimekuwa najiuliza sana maana na namna askari wanavopapata vyeo na kupanda vyeo, mfano koplo, Sargent, nk naomba anaejua anisaidie
Ishia hapo hapo alafuNgoja waje ila msiwaulize kuhusu mishahara watachukia mno
Mkubwa pale ni kozi tuu ndo inakupelekea cheoJamani wadau nimekuwa najiuliza sana maana na namna askari wanavopapata vyeo na kupanda vyeo, mfano koplo, Sargent, nk naomba anaejua anisaidie
Wee mchawi niniTupo nao humu kiongozi aidha labda wapo lindo tu wakiwa free watakuja hapa kukujibu mkuu.
Ahsante
Haiku huu....Ongezea pia suala la posho nataka wanapata kiasi gan mfn luten usu, nijitupe uko niache kupoteza muda kwenye siasa za maji taka
Rire kaaziiTwaja
Afande,riarest hili rijamaa
Karibu ndata[emoji23] naona mmefikaIshia hapo hapo alafu
Meza mateKaribu ndata[emoji23] naona mmefika