KAKA NASOKI
Senior Member
- May 25, 2016
- 191
- 212
Solar ni umeme ndio mana inwasha TV unless haina Inverter, kwani sola kuna mpaka za kuendesha pump na kuchemshia maji ya kuoga hasa mbugani kwenye camps zilizoko Serengeti, Tarangire, Selous nk.Kuna shule iliungua japo haikuwa na umeme, wanatumia taa za sola. Hili limekaaje mkuu. Maana hili la kuchaji simu litakuwa chanzo iwapo tu, shule ina umeme.
Naelewa. Lakini unazifahamu taa za solar nilizozungumzia? Ni zile taa zenye sehemu ya panel mojakwamoja. Unakuta vimetundikwa mabwenini muda wa jioni.Solar ni umeme ndio mana inwasha TV unless haina Inverter, kwani sola kuna mpaka za kuendesha pump na kuchemshia maji ya kuoga hasa mbugani kwenye camps zilizoko Serengeti, Tarangire, Selous nk.
Mbona ni shule za kiislam tu?Nimeipata mahali si vibaya ku-share
Poleni kwa majanga ya moto mashuleni. Hivi punde jamaa alimfanyia interview mwanafunzi aliyemaliza form six, akasema alimwambia mashule yanaungua kwasababu huwa wana simu na huwa zinafichwa darini, wakitaka kuchaji wanakwangua waya wa umeme wanategeshea chaji zao, na huwa wanafanya usiku wakati wa preparation (prep )ya jioni, kwahiyo mabweni huungua kuanzia darini sababu ya kukwanguliwa nyaya za umeme. Hivyo moto ukizuka inaonekana ni hitilafu ya umeme.
Aliulizwa kama walimu wanalijua hilo akasema hadi leo hawjui kama wao ndio wanasababisha.
Jamani tuwajulishe Walimu na wenye shule wawe wanafanya ukaguzi kwenye dari za mabweni mara kwa mara. Na wale wanaokagua chanzo cha moto wawe wanahoji vijana kwa kina wapate taarifa kamili, kuepuka ku conclude wiring za mashule ni mbovu.
Chanzo kingine ni kutumia heater za kienyeji kuchemshia maji ya chai, zilizotengenezwa kwa spring za vitanda vya chuma, ikitokea zile spring mbili zinazo ning'inizwa kwenye jagi la maji zikigusana hakuna kingine ni moto.
Hapana, wanatumia taa za umeme wa solarKuna shule iliungua japo haikuwa na umeme, wanatumia taa za sola. Hili limekaaje mkuu. Maana hili la kuchaji simu litakuwa chanzo iwapo tu, shule ina umeme.
Shule iliyoungua mwanza juzi ni ya kiislamMbona ni shule za kiislam tu?
mzazi mbwiga huyo, anahisi eti ndo anampenda mtoto sana akifanya hivyoUbaya kuna wazazi ambao wanawapa watoto hizo sim na kuwaelekeza jinsi ya kuzitumia kwa vificho wawapo mashuleni. Nimelisikia hili kwa mtoto wa 12years anayesoma boarding
Nilichojiuliza ni kwamba
Hivi mzazi anayempa mtoto sim aende nayo shuleni kinyume cha sheria anakua amempeleka mtoto wake shule kusoma?
au ndio anayewezesha mawasliano ya kuhujumu hizi shule?
Huyu mzazi ni mawasliano gani anafanya na huyu mtoto na kwa faida gani?
Shule ziongeze ujuzi kwenye kudeal na hawa vijana wetu. Kuwe na sheria Kali sana kwa kosa Hilo na wazazi tusiache kutoa ushirikiano kwa walimu ambao ndio walezi.
Kuna wazazi wa ajabu sana dunia ya leomzazi mbwiga huyo, anahisi eti ndo anampenda mtoto sana akifanya hivyo