MANILABHONA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 462
- 351
yaani kote huko mumeona hazitoshi mpaka na michango tunayoenda toa kanisani napo mnaitaka, daahNaomba mnisamehe wahusika kwa mawazo yangu. Hii ni katika kujaribu kuisaidia serikali kukusanya mapato na kupeleka huduma kwa wananchi. Naishauri serikali kufikiria kuanza kukusanya kodi kwenye biashara hii ambayo inaingiza mapato mengi sana lakini ina msamaha wa kodi-Biashara katika makanisa na misikiti, biashara ya kuhubiri injili/hotuba/mawaidha na kukusanya sadaka/ zaka nk. Hii biashara inaingiza fedha nyingi sana lakini sijasikia serikali inapata gawio kiasi gaani la mapato. Wabunge ishaurini serikali kuona eneo hili nalo kuna fedha za kutosha Nawasilisha
Nonsense
Sijaona maana yoyote kwa sadaka kutozwa kodi kwa maana inatumika kuendeleza miundombinu ya nyumba ya ibada na mambo mengine ya kiimaniCan I pls ask why?? Acha atoe mawazo yake mkuu. Hawa ndio wale wale wanaoona kheri kuila rambi rambi hadi waimalize kuliko kumwachia mia mjane na yatima. Wanaona atapata ya kutokea huku wakiwa na ham akose ili wamdandie kabla hata ya hitma kusomwa
Sijaona maana yoyote kwa sadaka kutozwa kodi kwa maana inatumika kuendeleza miundombinu ya nyumba ya ibada na mambo mengine ya kiimani
Unadhani itawezekana na nchi yetu sio ya DINIMkuu;
Sema hivi au shauri hivi; Kama hii serekali inataka kuokota kodi humo, basi iwajengee miundo mbinu, pia iwaajiri hao maimamu na wachungaji na makasisi. Kwa jinsi hiyo, watakuwa na haki ya kuokota kodi. Wataifishe misikiti na makanisa yaliyo tiyari ili kuweka fair play
Unadhani itawezekana na nchi yetu sio ya DINI
mawazo ya ibilisi siku zote yanapata washabiki kuliko ushabiki wa ligi kuu ya uingereza!!!!Naomba mnisamehe wahusika kwa mawazo yangu. Hii ni katika kujaribu kuisaidia serikali kukusanya mapato na kupeleka huduma kwa wananchi. Naishauri serikali kufikiria kuanza kukusanya kodi kwenye biashara hii ambayo inaingiza mapato mengi sana lakini ina msamaha wa kodi-Biashara katika makanisa na misikiti, biashara ya kuhubiri injili/hotuba/mawaidha na kukusanya sadaka/ zaka nk. Hii biashara inaingiza fedha nyingi sana lakini sijasikia serikali inapata gawio kiasi gaani la mapato. Wabunge ishaurini serikali kuona eneo hili nalo kuna fedha za kutosha Nawasilisha
Mmh sawa mkuuKama nchi tumeshauriwa kwamba; tukitaka mapato kutoka kwa wamachinga, tuwape sehemu watakaa wauze vitu zao. Hivyo kama mnataka pato kutoka kwa manyumba ya ibaada, watengenezeeni majumba hayo muweze kuwapata. Wakija kuomba kibali ya mkutano, toza kitu kidogo. Hivyo mtapata kihalali sio mnangojea tu kusikiliza sauti inatoka wapi mnaenda na kibaba kudai changizo. Huo nao ni wizi tu tena wa kinguvu