Vyama vya wafanyakazi mko wapi?

Vyama vya wafanyakazi mko wapi?

365

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
1,377
Reaction score
1,460
Mpaka muda huu kuna threads zaidi ya kumi zilizoanzishwa leo na wafanyakazi wa serikali,wanalalamika sana,inasemekana mambo yao ya mishahara haiko sawa,mana waliahidiwa kuongezewa mapema mwezi huu wa saba.

Hebu jetokezeni simameni mbele ya wafanyakazi enyi viongozi wa vyama vya wafanyakazi.
 
Jamani basi inatosha.... Nimejizuia sana kutotukana.. Nnavyozidi ona uzi za hivi nawza nkatukana tusi kubwaa nile ban..

Wacha tu ..
 
Ili wafanye nn? Serikali kwan inawajibika kujib hoja yyte toka chama cha wafanyakazi? Legal framework ya hivi vyama ikoje?
 
Hawawezi kufanya lolote,ili wapate michango ya wafanyakazi wanategemea mwajiri awakate wafanyakazi,wakigombana na mwajiri na mwajiri akisema siwakati wafanyakazi wangu,wao hela za kuendeshea vyama watatoa wapi?
Ukilijua hilo tu basi.
 
Mpaka muda huu kuna threads zaidi ya kumi zilizoanzishwa leo na wafanyakazi wa serikali,wanalalamika sana,inasemekana mambo yao ya mishahara haiko sawa,mana waliahidiwa kuongezewa mapema mwezi huu wa saba.

Hebu jetokezeni simameni mbele ya wafanyakazi enyi viongozi wa vyama vya wafanyakazi.

Labda ungeanza kujiuliza kwanza ni lini mara ya mwisho ulijihusisha na hivyo vyama? Ni lini hata tu ulihudhuria vikao vya kujadili maslahi ya Wafanyakazi? Uanzie hapo!
 
Walioshiba bhana si wenzako...
. Fanya kazi tu utalipwa na Mungu
 
Back
Top Bottom