kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,782
- 22,100
Baada ya jeshi la polisi kupiga marufuku mikusanyiko yote ya kisiasa mpaka hali ya kiusalama itakapokaa sawa,hakuna tatizo hapo naona si lazima kukwea kwenye majukwaa kutia hasara kupoteza muda,kusababisha wananchi wasifanye kazi maisha yenyewe magumu,sasa itumike ile mbinu ya mwaka jana katika kampeni ilipoamualiwa ilani ikasomwe kwenye mtandao na hotuba nazo zitupiwe tu kwenye mtandao kama ile ilani ya uchaguzi ,ili tuondoe ugomvi na jeshi la polisi.